Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Et wanasemWewe mnapiga story, simu ya biashara/pesa inaingia kwanini usisubirishwe
Shezi nini 😁Tafsiri yake ni kuwa wewe n mshika mapembe ila wakamua maziwa wapo
Tafuta hela hakuna mwenye hela ambaye simu yake inasubirishwaShezi nini 😁
Hiyo mm ndio naifany ss leo jmaa kanichnaTafuta hela hakuna mwenye hela ambaye simu yake inasubirishwa
Sasa mtu uki msubirisha ana kukasirirkiaMfano unaongea na mtu kisha akaipigiwa na mzazi,boss wake au simu yenye umuhimu kwa wakati huo kuna ubaya gani akikusubirisha naona haina noma labda kama wewe huna kazi ya kufanya.
Au sioTambua tu wewe ni msindikizaji demu anamuheshimu zaidi bwana ake kuliko wewe ndio maana unasubirishwa.
Sasa mbona wengine wana shindwa kuelewaIna maana simu anayopokea katikati ya maongezi yenu ina umuhimu kuliko simu yako.. Short and clear..
mimi huwa nasubirisha we kasirika tuSasa mtu uki msubirisha ana kukasirirkia
Ni kumkosea mtu heshima kumsubirisha mtu ghafla, kwa ustaarabu kama ume staarabika hata uwapo kwenye maongezi na mtu ya ana Kwa ana, Simu ikipigwa omba samahani kwanza then sogea pembeni kidogo ili kuongea na simu Kama Ina umuhimu.Sasa mbona wengine wana shindwa kuelewa
Wana chukia vbymimi huwa nasubirisha we kasirika tu
Una mwambia ivyoNi kumkosea mtu heshima kumsubirisha mtu ghafla, kwa ustaarabu kama ume staarabika hata uwapo kwenye maongezi na mtu ya ana Kwa ana, Simu ikipigwa omba samahani kwanza then sogea pembeni kidogo ili kuongea na simu Kama Ina umuhimu.
...ukiona hivyo jua tu kuwa wewe huna thamani kwake kama hao waliofanya akusubirishe...yaani nione simu ya GSM inaingia bado niendelee kuongea na mwamedi?!huyo mtu ana kusubirisha kama mara tatu
Kupika nini? 😂Ningekuwa mimi ni wewe ningejiendea zangu tu jikoni kupika