Almost two weeks nipo na my one and only
My sweetheart waubani laazizi
Smart911 na tangu juzi ijumaa kuu tumesafiri kwenda hukoo kula maisha kubadilisha mazingira tofauti kabisa huku ni full rahaaa bila karahaa tunampango wa kurudi jumatatu Jioni ready for work kila mmoja akiwa furesheeeeeee
Ila
Smart911 mtamu jamani acheni tu
Anayajua mapenzi mnoo
Smart911
Hapo kwenye pesa sasa lol Mengine
Wacha nifunge domo langu
Wasije wakakuteka buree
Smart911 wangu