"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!
makalio si yataota sugu kwa kusubiri?
Unaukumbuka ule wimbo wa "simamaa, kaa.. simamaa, kaa.. ruka ruka rukaa, simamaa, kaa..."
Hebu fanya kuuimba huku unautekeleza kwa vitendo
mmmmmh nilivyoshiba chapati na maharage, naogopa nisije shusha vibomu....
mmmmmh nilivyoshiba chapati na maharage, naogopa nisije shusha vibomu....
"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!
hivi sonyo linaandikwaje??
Maana kuchumu ni "mmwwaahh"
kutema mate ni "ptchuuuu"
kusonya jee??
Nikiipata hiyo nitarudi hapa nije nikumwagie sonyo.........
Hata hujanikera, kumbe chambo zenyewe feki."Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"