Una fanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una fanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, May 5, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Una fanyaje pale mtu anapo tangaza ndoa kua anataka kumuoa mke wako
  Na wewe bado upo hai na unaishi nae ,
  tena mna pendana kweli!

  Naomba ushuri ili nijue cha kufanya!
  Bad thing ni kwamba wote,mke wangu na huyo mwizi ni wana JF!
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  you simply ignore him, asije akapata sifa bure... ila na wewe investigate kidogo uhusiano wake na mkie wako.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante,nilisha mu-ignore sana tu lakini ni mbishi kweli
  na sijui anatoa wapi uhakika wa kumchukua mke wangu!

  Uhusiano wangu na mke wangu ni mzuri kweli,na karibuni tu tumepata mtoto
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na mke wako anakuwa anataka kuolewa au?
  Hebu sema kuhusu huyo mke wako kwanza, haafu nitakuambia cha kufanya.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mwenye jibu la swali lako ni mkeo peke yake.
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hamtaki,ila nae ana utani sana so huwezi
  jua kama anacho ongea ni kweli au sio kweli!
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ametangaza official? I mean the 21 days required by law?
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tatizo sio jibu,tatizo ni nimchukulie hatua gani huyu jamaa,
  maana katangaza ndoa mda mrefu nikamuacha mke wangu
  aamue mwenyewe,
  hadi leo hakuna kinacho endelea kwa jamaa, kimya kime tawala!
  nipo na mke wangu tunaishi kwa raha,

  Nifanyeje kwa huyu jamaa alo mdhalilisha mke wangu?
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wala usimfanye kitu huyo jamaa,
  Siri ya haya anayajua mke wako,
  Wala usiusemee sana moyo wake,

  Usije kuta hata huyo mtoto unayemtarajia ni mali ya huyo jamaa.
  Shauri yako, tuia andaa msosi kula, nyamaza.
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ayaaaaa,i suggest you are wrong
   
 11. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye bold panaonesha kuwa wewe ndiyo unampenda kweli mkeo,
  na siyo kwamba mnapendana,
  mngekuwa mnapendana kweli kama unavyosema,
  Basi huyo mkeo asingempa matumaini huyo mwoaji mpya wa kuolewa naye.

  Hapo juu LD amekuuliza kuhusu mkeo, unasema ukimuuliza eti mkeo,
  anacheka cheka tu ksb ana utani mwingi.

  Ebo??, Mbona sikuelewi, hivi mwanaume kweli ukae kiume na kumwonesha uso wa kiume mkeo na kuanza kumhoji jambo la muhimu kama hili ,eti aanze kuchekacheka???,
  MBONA HAINIINGII AKILINI, UPO SERIOUS KWELI AU UNATANIA??,

  kutongozwa kila mtu anatongozwa na hakukatazwi, ila inatakiwa mtongozwaji,
  ujieleze wazi kwa mtongozaji kuwa wewe ni mke wa mtu, akatafute mwingine. Sasa Huyo mkeo knn asimwambie huyo mtangozaji kuwa yeye ni mke wa mtu??,kwanini anampa matumaini yasiyotekelezeka?? HIVI NI MKEO KWELI AU HAWALA??,

  MI NAHISI WEWE UNATANIA, MTU ANAYETONGOZEWA MKEWE HAWEZI KUWA NA MAJIBU MEPESI KIASI HIKI KWENYE SUALA ZITO KAMA HILI. SIJAKUELEWA KABISA??.
   
 12. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kwa vile kutangaza ni tofauti na kutenda, mpe mda mpaka atakapo tenda ndio umchukulie hatua pamoja na mkeo.Manake labda mkeo anataka kuweka historia ya kuolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ingawa nina avatar ya ki-dictator,napenda sana kumpa mtu uhuru!
  Nili acha kumuuliza saaana ili kama hanipendi basi aondoke,
  kulazimisha ndoa ni sumu sana!
  Lakini sasa,toka jamaa atangaze "ndoa" hiyo hakuna chochote kinacho endelea!

  Nikia act kama unavotaka nitapelekwa gerezani na sitaki,naweza though!
  Najifunza kua democratic
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Copy that,ngoja nikusanye ushauri zaidi
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa maelezo yako, mkeo anataka kukufanya mume mwenza au yeye hataki ila analazimishwa?
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa anayetangazia ndoa wake za watu atakuwa na matatizo, atatangazaje ndoa bila maelewano na muolewaji? Mchunguze sana huyo mkeo, au wewe ndo umemchukulia mkewe?
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Asante nnunu.....
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,hiyo nayo point!
  najua atakuja tu kutoa ukweli hapa,na nikifika nyumbani itabidi tuongee vizuri
   
 19. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka kuiona mpaka imefikia hivyo bac ujue chezo walikuwa wakilifanya tangu long time,kwani huyo jamaa unamfaham na kama ndio kwa nn usimtolee uvivu?unabaki kutia huruma na mawazo tele au hata ngumi hujui?kutumia panga je?napo huwezi?jikaze kiume heshima irudi.
   
 20. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna mapanga yanauzwa pale ubungo, yanauwezo mkubwa kiasi cha kuweza kutumika kukata kucha. Kanunue halafu nitakushauri cha kufanya!
   
Loading...