Una Anti-virus ya mwaka mzima? Tuongee

Una Anti-virus ya mwaka mzima? Tuongee

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
25
Shaloom
wakuu natafuta Ant Virus kwa ajili ya mashine yangu

kwani hapo kabla ilikuwa na Ant Virus ya Kaspesky ya mwaka mzima ina expire mwezi huu

so nataka niweke mpya ya mwaka mzima tena

Mwenye nayo aniambie TUONGEE

WHATSAPP

+255758441676
 
Njoo uchukue bitdeffender hapa. ya life time,
 
Usisumbuke na za kununua au pirated

Kamata Microsoft essential security for free
 
mmnh mwenzenu nimedownload,sijajua km ni trusted website ama vipi,mie haya mambo ya computer siyajui...nimerun scan inaniambia hakuna virus wala threats....hivi hii inawezekana?sababu nimetumia hii laptop for than six months bila kuwa na antvirus.....swali la mwisho unajuaje km software uliyonunua inafanya kazi...?
 
umedownload antivirus gani? nenda msimbazi kwenye maduka ya computer nunua antivirus, install kisha update halafu ndiyo urun full scan. hizo za bure achana nazo.
 
Microsoft essential iko poa sana achana na za kununua utaibiwa tu
 
Microsoft essential iko poa sana achana na za kununua utaibiwa tu

Dah...ushauri mwingine huu. Kama unaujali usalama wako online tumia dedicated antivirus software, ina features nyingi itakulinda na mengi. MSE wanakupa basic tu. Elfu10-15 kwa mwaka ni nyingi mno?
 
Back
Top Bottom