Chief Majinge heritage Senior Member Joined May 21, 2019 Posts 102 Reaction score 225 Mar 16, 2020 #81 Aseee mm hukaa kimya tu then naweka nyimbo zangu za kirasta/ reggae tu
Operand JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 275 Reaction score 288 Mar 16, 2020 #82 nalia tu kile kilio cha ndani lakin inategemea na chanzo cha hio hasira ni cha namna gani! Sent using Jamii Forums mobile app
nalia tu kile kilio cha ndani lakin inategemea na chanzo cha hio hasira ni cha namna gani! Sent using Jamii Forums mobile app
Fisher_8 Member Joined Jul 26, 2019 Posts 80 Reaction score 225 Apr 11, 2020 #83 Paula Paul said: Hivi kwanini unajipa shughuli zisizo za lazima? It's a free country ninaweza kutumia lugha zote kwa sababu katiba ya nchi inaonesha TZ tunaongea kiswahili na kingereza.View attachment 1388779 Click to expand... Ok,ilikuwa ni kwa faida ya wote lakin (naheshimu maoni yako)
Paula Paul said: Hivi kwanini unajipa shughuli zisizo za lazima? It's a free country ninaweza kutumia lugha zote kwa sababu katiba ya nchi inaonesha TZ tunaongea kiswahili na kingereza.View attachment 1388779 Click to expand... Ok,ilikuwa ni kwa faida ya wote lakin (naheshimu maoni yako)
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,167 Reaction score 24,127 Apr 11, 2020 #84 Hasira zangu hazitabiriki,zinacheza kwenye makundi yote hapo Na kuna makundi mengine hapo juu hujayaweka mtoa mada maana kuna wakati nikidakwa na hasira nafanyaga vitu bila kufikiria (kesho)
Hasira zangu hazitabiriki,zinacheza kwenye makundi yote hapo Na kuna makundi mengine hapo juu hujayaweka mtoa mada maana kuna wakati nikidakwa na hasira nafanyaga vitu bila kufikiria (kesho)