Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Tusaidie hilo somo mkuu kama inawezekana maana hasira wengine zitatuaibisha ama kutupeleka kaburini kabisaHasira ni mbaya,sumu iliyo hatari zaidi,
I remember few years i used to be such kind of person,mwenye hasira sana,ila nilikuja kugundua ni kutokana na uchungu wa vitu vingi na kutokuwa na uwezo wa kuhandle jambo kwa namna ya kawaida...
But nilikutana na dr mmoja akanipa somo,haki sitarudia kuweka hasira moyon
Otherwise nitakaa kimya au kutembea tembea nje.....
Life is too short
[emoji16][emoji16][emoji16]tunajijua mkuu, sisi ni watu tunaamini katika karma[emoji3][emoji3] Umejuaje mkuu, mi ukinikera yaan nakufungia vioo tu, sisemi kitu. Wengi wanadai tuna dharau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,nikitulia nitatoa somo.Tusaidie hilo somo mkuu kama inawezekana maana hasira wengine zitatuaibisha ama kutupeleka kaburini kabisa