iyo report ingewekwa wazi ingesaidia kuondoa utata kwani kuuza silaha ni jambo rahisi ktk maeneo ya kongo,burundi,tanzania na rwanda mipakani kwani kuna siraha nyingi ziko loose, izo siraha wanazozitumia mainly ni AK 47, hizi powerful war wepon zinapatikana kwa urahisi sana ktk maeneo hayo, infact kila mwankijiji anayo kujilinda maana in those areas people are virtually in un announced war btn each other and robberers who have these riffles in abundant, kutokua na AK 47 maeneo hayo ni kama dead man walking.
mbuzi mmoja anaweza kubadilishwa na AK 47, they are so many thanks to chinese who copy and produces them in abundant.
sidhan kama serikali inaweza kujihusisha na cheap business kama iyo kwani maeneo hayo izo siraha ziko nyingi hadi hazina soko ninachoweza kukubali labda kupitishwa kupitia border zetu kwani ukaguzi wetu wa bidhaa zinazopita border zetu ni hafifu.