Un report | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Un report

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBADI, Dec 2, 2009.

 1. M

  MBADI New Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamii!
  Mimi ninataka kupata maoni ya wadau kuhusu report ya UN kuihusisha Tanzania na upitishaji wa silaha kwenda DRC, nimeiosma ile document kwa makini sana, kwa maoni yangu ninafikiri kwamba Serikali ingefanya uchunguzi kwanza wa watu waliohusishwa na sakata hilo kabla haijakurupuka kukarusha, maana inaonyesha kunaushahidi kuwa kutosha kuihusisha na skata hilo, ingawaji inaonyesha wahusika walikuwa wakilifanya hili kibinafsi zaidi, na kama ikithibitika wapfikishwe kwenye vyombo vya sheria.
  Alex
   
 2. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naombeni iwekeni hapa javini hiyo ripoti maana binafsi sijapata kuiona na kuipitia
   
 3. H

  Hashim Mohamed Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka unakuwa kama hufuatilii habari za kisiasa, hivi unadhani serikali gani inaweza kukubali kuhusika na suala kama hilo? serikali yoyote ya wenye akili lazima watakataa pamoja kuwa hawataacha kuwachukulia hatua wahusika.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanzisha hii post leo kwa maana hiyo report ipo humuhumu kwenye jukwaa la siasa tangu juzi inajadiliwa. Tusiwe wavivu wa kuperuzi kabla ya kupost thread mpya
   
 5. bona

  bona JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  iyo report ingewekwa wazi ingesaidia kuondoa utata kwani kuuza silaha ni jambo rahisi ktk maeneo ya kongo,burundi,tanzania na rwanda mipakani kwani kuna siraha nyingi ziko loose, izo siraha wanazozitumia mainly ni AK 47, hizi powerful war wepon zinapatikana kwa urahisi sana ktk maeneo hayo, infact kila mwankijiji anayo kujilinda maana in those areas people are virtually in un announced war btn each other and robberers who have these riffles in abundant, kutokua na AK 47 maeneo hayo ni kama dead man walking.
  mbuzi mmoja anaweza kubadilishwa na AK 47, they are so many thanks to chinese who copy and produces them in abundant.
  sidhan kama serikali inaweza kujihusisha na cheap business kama iyo kwani maeneo hayo izo siraha ziko nyingi hadi hazina soko ninachoweza kukubali labda kupitishwa kupitia border zetu kwani ukaguzi wetu wa bidhaa zinazopita border zetu ni hafifu.
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Karibuni jamvini.....

  Iagalieni hiyo ripoti ....click link ifuatayo
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/45534-ripoti-ya-um-group-of-experts-juu-ya-drc.html

  Naomba Mods muiunganishe hii thread na ile iliyokwishaanzishwa na Mwanakijji
   
Loading...