Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.
Nilitarajia kusikia hilo kutoka kwa Umoja wa Mataifa na nilishangaa sana MAT kutuma barua UN kwa kesi ya "mtu mmoja." Angalieni tangu mzozo wa Siria umeanza ni watu elfu ngapi wameahuliwa na UN imefanya nini. Mnaweza kujiuliza kwa nini "UN" iliingilia kati mizozo ya Kuwait, Irak na Libya na kwa nini haiingilii mzozo wa Siria.
MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.
WanaJF nimepata habari muda si murefu kutoka chanzo changu cha kuaminika
kuwa UN Dar es salaama wamareject MAT's request
Chanzo kinasema UN hawawezi kuingilia mamlaka ya nchi kama nchi yenyewe inaweza kuyamaliza
maana hawawezi kuingilia uhuru wa sheria ndo maana baada ya MAT kuandika barua UN the next
day Mwenyekiti wa MAT alikuwa arrested na kupelekwa mahakamani...

day Mwenyekiti wa MAT alikuwa arrested na kupelekwa mahakamani....
Kasha kula ban kwa ujinga wakehapo ndipo unapoonyesha UPIMBI WAKO na UJUHA WAKO ULIOKUBUHU..angalia ranking ya vyuo vya kitabibu vya tanzania Katika DUNIA ndio ujue hongo kunawasomi msiowatumia...pili kupelekwa nje kwa Dkt Ulimboka ni kutokana na kukosekana kwa vifaa(moja ya madai)..tatu Udaktari na Ufamasia si kitu kimoja ingawa zinauhusiano wa karibu..nne makosa ya operation zilizotokea muh2 hayakufanywa na madaktari bali Idara ya uchapaji( kuchapisha majina mawili yote yenye kufanana mfano Hamis Juma badala ya majina matatu) na si kazi ya daktari kuhakikisha ni kazi ya muuguzi..kalale juha, jipange upya ndio uje hapa..