Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,913
- 7,152
Katika pitapita zangu za kila siku kuna bustani moja karibu na Mwenge naonaga mida ya mchana inamwagiliwa maji.
Nikiwa bado dogo niliwahi kuambiwa mida mzuri ya kumwagilia maji mimea ni asubuhi au jioni wakati jua siyo kali ili maji yale yafanye kazi sawasawa na yasikauke mara moja.
Kama nimekosea mnisamehe bure!
Ni mimi mjuzi wa kuleta mada ndogo ndogo.