Mwalimu gfsonwin kwani wewe unafundisha saa ngapi, maana muda wote uko huku?
napita tu wakuu....naenda kule kwenye jukwaa lile la wakuu bw aaaaa.....
namshangaa na yeye anafanya kazi zake saa ngapi kama muda wote yuko humu?kwani hakuna mapumziko jamani,kufundisha tunafundisha kulingana na ratiba jamani!kuna mida na siye walimu tunapumzika ,au sio mwalimu mwenzangu gfsonwin?
Mwalimu gfsonwin kwani wewe unafundisha saa ngapi, maana muda wote uko huku?
naona wewe ushakua Sanga sasa.hili nalo neno kwa kweli
Kwa hapo sikuwezi mdadai.Halafu mama Ndalichako kawarahisishia kazi kila kitu multiple choice , Mbona Mtalala huku!mie utanikuta mida yote jf, yahoo messenger na skype. na pia google scholar. na class nagonga mwanzo mwisho
Kwa hapo sikuwezi mdadai.Halafu mama Ndalichako kawarahisishia kazi kila kitu multiple choice , Mbona Mtalala huku!
Wacha we! Tatizo ni mshahra sasa- 149,000/ bado makatowala siyo ndalichako bali karikulam developa wenu. ualim raha mwanzo mwisho, na mabanda ya nguruwe unahudumia na shamba unakwenda.
Wacha we! Tatizo ni mshahra sasa- 149,000/ bado makato
wala siyo ndalichako bali karikulam developa wenu. ualim raha mwanzo mwisho, na mabanda ya nguruwe unahudumia na shamba unakwenda.
Wacha we! Tatizo ni mshahra sasa- 149,000/ bado makato
ahahahahahahahha!kwa hapo sikuwezi mdadai.halafu mama ndalichako kawarahisishia kazi kila kitu multiple choice , mbona mtalala huku!
Nine digits? Acha hizo mwalimu, Kwani we ni unafundisha Man U?BEST tupo ndani ya 9 digits,so tunakimbiza mjini kama hatuna akili zuri na hizi hizi pochi zetu zilizojaa majina ya waliochelewa kipindi,na scheme of works plus log books!hiyo misharaha unayosema ni siku nyiiing sana!I LOVE BEING A TEACHER!AND AM PROUD BEING ONE!
bhaelezee bhajue mi huwa nawambia washkaji na ndugu zangu wengine siachi ualimu mpka nife!mambo yengu kibao nafanya na kazi yangu pale pale!saa tisa niko home nahudumia famili,nasimamia miradi yangu,napata muda wa kuona wagonjwa,wakwe,kufuma vitambaa,na mavitu yote ambayo watu wengine hawapati muda kufanya!pana chezeya kabisa mwalimu wa kisasa bana!walimu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
umeona enh? Eti ni mama unatoka sasa 11 na kurudi saa 5 usiku. Kila mwez unasafiri 2 or 3 wks. H gel wako anaijua nyumba yako kuliko wewe mwenyewe. Wanao hadi wanamwita dada mama kisa huonekani wala hawakumbuki mara ya mwisho walikuona lini.
Hela unapata mamilion ila wanao hawaifaidi hata kidogo na ukiwato mara moja kwa wiki unaona uko juu unaweza kuwalea, hukumbuki hata mara ya mwisho kumwogesha mwanao wala siku ulompikia uji, huji mumeo ulimpigia pasi lini, hadi wamalawi umeajiri ili kukusaidia kazi. Yote haya yanakua ubatili tu kwani watoto hawajui upendo wa mama. Wanabakwa na kulawitiwa hadi wanakubuhu wewe ndo unagundua. Binti hadi anakuwa ndo msemaji wa familia kisa uko bize lol!
Am proud kuwa mwl, wanangu kila asubuhi wanakunywa uji nlopika mimi, na miradi nasimamia na outing napata na kazi nafanya kwa ufanisi tena hadi na tuzo za mfanyakazi bora napata halafu useme niache ualimu?
Ualimu safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!