Acha kuiga misemo yangu..... nimekwambia ukweli na hili sio jukwaa la diniUna kiherehere!!...... hukulazimishwa kusoma wala ku comment! Pambafu zako wana izaya!
My Dear its "Over and OUT"
Bazazi!
Mwalimu gfsonwin kwani wewe unafundisha saa ngapi, maana muda wote uko huku?ni kweli Bazazi mtu asokuwa na mke ni kama mnyang'anyi mtu ambaye hulala huku na kule pasi kuwa na makazi maalum. imeandikwa hivi moyo wa mwanaume utaambatana na mkewe so asokuwa na mke moyo wake huzurura tu pasi sababu.
hili nalo neno kwa kweliMwalimu gfsonwin kwani wewe unafundisha saa ngapi, maana muda wote uko huku?