Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 695
- 1,712
Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?
1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...
Hii ndio pwani..