Umuhimu wa Ukanda wa Pwani kwa Uchumi wa Tanzania

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2017
695
1,712
Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?

1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...

Hii ndio pwani..
 
Ukanda WA pwani ndyo roho ya uchumi WA nchii hii ni vile Tu nchi hii inaongozwa na chama kisichojua kutengeneza fursa Kwa wananchi wake serikali ingesimamia kilimo endelevu Kwa mkoa wa Tanga pwani na korosho Kwa Lindi na Mtwara uchumi ungepaa sana Ila kinyume chake viwanda vyote vya maana Tanga vilikufa, bandari ya Tanga waliiua imekuja kusimama baada ya JPM kusema mizigo mingine ishushiwe pale Mtwara vile vile tuna mwambao mkubwa WA bahari usio na faida sana kwetu zaidi ya wenye nguvu meli zaoo kwenda kuvua huko tungehamasisha wafanyabiashara wakubwa wawe na meli kubwa kwaajili ya uvuvi kwenye bahari kuu nahisi Tungekuwa wauzaji wakubwa WA mazoa ya baharini Leo nje ya nchi Ila ndyo ivyoo tukae Kwa kuvumilia maana Lindi ni mkoa maskini sana elimu Tu ni tabu kwao kuipata baada ya mavuno ya korosho hakuna cha maana tna zaidi.
 
Morogoro ipo Eastern Zone ya Tanzania lakini sio Pwani
Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?

1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...

Hii ndio pwani..
 
Gu

Gusia Mkoa wa Geita kidogo mkuu
 
Gu

Gusia Mkoa wa Geita kidogo mkuu

Leo tunazungumzia Pwani Bob..

Ila kwa "kukutekenya tu", Geita imebarikiwa Madini ya dhahabu(No 1 Tanzania nzima), Uvuvi Wilayani Chato(Ziwa Victoria), Kilimo(Pamba etc)..
Pia Geita ni Gateway ya kuelekea Rwanda, Burundi na Dr Congo, Pia kuelekea Dr Congo kupitia Kigoma na Ziwa Tanganyika kutokea Mwanza(mji mkubwa wenye viwanda)..
Geita ina vivutio kadhaa vya utalii mfano inapakana na Burigi-Chato mbuga ya wanyawa.. Pia ina visiwa vitamu sana vilivyo na uzuri wa asili kwenye Ziwa Victoria.. Uwepo wa Chato International Airport ni big plus kwa kuvutia watalii eneo hili..
Ufugaji- Wasukuma wako vizuri sana kwenye hili na iwapo watafuga kisasa wenye tija naona potential kubwa sana ya viwanda vya Nyama, Maziwa na Usindikaji wa Ngozi(ikiwemo za Punda)..
..
.
 
Ukisema pwani ni Km Ngapi?kutoka usawa wa bahari.
Niliwahi fika bagamoyo ambao upo pwani, hakuna hata daladala za kuunganisha wilaya na wilaya.hawana cha kutoa au kufuatwa.pangani ndio wilaya kongwe yenye chini ya km 2 za lami.pangani wana nini kati ya utajiri ulio utaja?.
Nimewahi fika lindi.nafasi ya mkoa ni kuubwa lakini mjini ni kama vile upo bagamoyo.
Swali pwani ni km ngapi kutoka baharini?
 
Wana nn muulize nyerere alivyomaliza ukanda huo alikuwa hawawapendi kuna mahoteli ya kifahamu we na ukoo wako hamna pesa ya kuingia kuna business zinafanyika za pesa ndefu majongoo ya pwani ,mwani hujui tulia

Kuna bandaru bubu sukari zinapita kule hawtaki hata serikali coz inaharibu mishe zao muulize juma aweso
 
Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?

1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...

Hii ndio pwani..
Sasa hayo yote mbona hatuoni faida yake kama nchi zaidi ya kutegemea dhahabu na almasi za kanda ya ziwa ili kuendesha uchumi wa hii nchi.

Na pwani imejengwa na watu wa nje ya pwani hakuna mtu wa pwani mwenye uwezo wa kusimamisha hata gorofa chanika.

Kingine ukiondoa bandari pwani haina la maana..kama korosho nenda manyoni sasahivi zinapatikana za kutosha.

Watu wapwani project wananzozijua ni kukata viuno na kucheza bao na kunywa kahawa na kuvaa misuli..

#MaendeleoHayanaChama
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom