jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,108
- 35,928
Hiyo chuki kwa JKN haitokusaidi..jikite kutengeneza maisha yako na ndugu zako wa pwani kutoka kwenye lindi la umasikini na ujinga.Nyerere hakutaka kusikia hili na kusema atatekeza mikoa ya pwani kuimaliza kabisa asijenge hata chuo yuko wapi
#MaendeleoHayanaChama