Umuhimu wa Rais kuwa mwalimu

nickvalerion2810

Senior Member
Mar 31, 2015
112
36
Naanza kuona umuhimu wa nchi kuongozwa na waalimu....mwalimu nyerere na mwl( Dkt) Magufuli wana ideology sawa....

Hili ni funzo kwa serikali kuwathamini waalimu maana waalimu wakishika nchi wananyosha maelezo....wanawafundisha viongozi tena waliowafundisha primary.....

Nahisi its high time ipite sheria kuwa Rais lazima awe alipitia UALIMU
 
watu wote anawaona kama watoto wa shule ni viboko choma ndani tupe kule, ila aangalie wasijegoma kama form two.
 
Walimu kiukwel wana special skills. Sijui kama Mwl. anaweza ogopa kukuchapa eti kisa jioni utampopoa mawe. Since Mwl. ni mwnambele hata darasani na hawatakii mabaya wanafunzi wake ambao sio watoto au hata pengine ndugu yake huwasaidia kwa Upendo na lastly unatoboa maishani. Tunawaambia viboko visifutwe ona Mwl. Magu verses Maja wanavyotoa dozi iliyoyoenda shule. So is likely we will excel. Hzi fani nyingine hzi bhana longolongo sana kama sheria, wachumi, accountant and alike wawe watendaji ila menegment & leadership waachieni walimu jaman!!
 
Na mishahara waongezewe bac jmn
 
Umuhim wa rais kuwa msanii ,ataishi kisanii hivyo hivyo mara kula kwa mama ntilie ,kupanda daladala
 
Naanza kuona umuhimu wa nchi kuongozwa na waalimu....mwalimu nyerere na mwl( Dkt) Magufuli wana ideology sawa....

Hili ni funzo kwa serikali kuwathamini waalimu maana waalimu wakishika nchi wananyosha maelezo....wanawafundisha viongozi tena waliowafundisha primary.....

Nahisi its high time ipite sheria kuwa Rais lazima awe alipitia UALIMU

Mbona journalist na mjeda (mjeshi)wameongoza nchi vizuri mno..!! Tena yule mjeshi tulidhani angeongoza nchi kwa viamri amri, lakini kipindi chake chote amekuwa very civilized and very much socially acceptable man.
 
Vasco da Gama ni shidaaa
 
Hata Yesu alikuwa mwl. kwa hiyo walimu ni watu muhimu sana pia kumbukeni hata Wazir Mkuu ni mwl.
 
ngoja tuone safari hii ya walimu jinsi watakavyoendesha nchi hii..
haaaaa ni viboko tu kwa kwenda mbele....
 
Watu wengi wanatusema walimu kuwa ni malofa hatuna akili hatujui kudai maslah yetu sisi ni masikini wa kutupwa. Yale majizi na mabadhirifu na mafisadi yanajiona ndo yana akili kwa KUDHULUMU mali ya umma. Jamani WALIMU tuna busara na hekima na hata maisha tunajua tuishije...watu bila kujua bado wamekariri kuwa walimu wana hali ngumu sio kweli! Wana kipato cha kati na akijishughulisha zaid na kwa kupata angalau kamkopo maisha yananyooka. WATZ BADILISHENI MTAZAMO JUU YA WALIMU. Hivi wakifanya fujo mtafaidika nini? Kuishi bila hekima ni MAJANGA. Hongera Rais usiwaogope NEC ya kijani...
 
Tafakari mwenyewe alifanya nini. Je wewe umefanya nini? Utakuwa "mpumbavu" kama huelewi mwl Nyerer alifanya nini. Go back to school.
 
nimeipenda hii, mwalimu haogopi kutandika eti jioni atapigwa mawe. Hongera sana sana waalimu. Mwalimu Magufuli usiogope mawe piga pindi na viboko kwa sana atakulipa Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom