The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Mwanaume anakuwa mzuri akiwa na pesa.
Mwanaume anapendwa akiwa na thamani.
Mwanaume anaogopwa anapokuwa na mamlaka na ushawishi.
Mamlaka, thamani na ushawishi yanaleta mafanikio ya kipeasa, kwahiyo mtu mwenye mamlaka, mtu mwenye thamani na ushawishi, mtu huyo ana pesa, na huyu ndio mtu ambaye anauwezo wa kumpata angalau kila mwanamke anayemuhitaji.
Achana na dhana ya mwanamke kukwambia hana muda, mwanamke ana muda na anapatikana kwa urahisi sana bila shida yoyote.
Mwanamke anapatikana kwa urahisi bila usumbufu wowote kwa wanaume wawili, mwanaume anayempenda na mwanaume mwenye pesa. Kwahiyo ikitokea kila mara mwanamke anakwambia hana muda maana wa kuonana na wewe maana yake hakupendi, lakini pia huna hela. Kama mwanamke anajua una hela na mahitaji yake ya kipesa yatatimizwa bila changamoto yoyote, mwanamke huyo utampata muda wowote utakaomtaka hata kama hakupendi.
Sahau kuhusu hivyo visheria vyao wanavyoviwekaga kwa mwanaume, mara sijui mimi huwa sitoki usiku, hivyo visheria anawekewa mwanaume asiye na hela, ukiwa na hela mwanamke anakupa uhuru wa kuwa kwenye maisha yake muda wowote.
Tafuta pesa nyingi, kila kitu kuhusu wanawake na visheria vyao havitakuhusu, vitahusu wanaume wengine ila sio wewe.
Wanawake wanaweka sheria nyingi kwa wanaume wasio na hela na wanazivunja sheria hizo hizo kwa wanaume matajiri.
Wanaume wengi wanateseka kwenye mahusiano sio kwa sababu ni watu wabaya ila ni kwasababu hawana hela.
Hakuna mwanaume duniani ambaye mwanamke anamchukia na kumvunjia heshima kama mwanaume asiye na hela.
Mwanaume pekee masikini ambaye mwanamke anampenda, kumuheshimu na kumthamini ni Baba yake mzazi, yani mwanamke hanaga shida na umasikini wa baba yake mzazi ila umasikini wako unampa shida sana.
Kama mwanaume hakikisha unatengeneza pesa, halafu tengeneza hayo mahusiano yako, ila pesa iwepo. Kwa mwanamke linapokuja swala la pesa huwa anachanganyikiwa.
Kama kijana usihangaike sana na mapenzi, hangaika kutafuta thamani yako na kuwa na nguvu ya kiuchumi.