Umuhimu wa ndoa kwako


Mama na baba yng hawakuhusu na maisha yao na hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf so siwezi kuwajadili hapa,,,,,,,,,,,,,,,,,,, jadili mada huwezi kazimue viroba.
 

Wise words from a wise person... Stay Strong Bro
 
Bila hela huyo mke utamtunza na nn??????
Sir god atakutimizia kila kitu bila ww kuzisaka pesa?????
Marriage is all about money!!!! siku moja utakubali nisemayo
Inaonekana kama umeconclude kuwa mtoa mada hana hela. Nafikiri mtoa mada anazungumzia ndoa na vitu vingine vikiwa constant(ceteris paribas). Sio fomula kuwa ukiingia kwenye ndoa utakuwa huna hela!
 

CC Khantwe.
 
Last edited by a moderator:
Wise words from a wise person... Stay Strong Bro

asante sana ndugu yangu! Himidini attitudes zetu ndiyo silaha zetu dhidi ya changamoto za maisha ama tusipozitumia vema zinageuka na kutuangamiza kwa namna ile2 tulivyozitengeneza wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…