Umuhimu wa ndoa kwako

Umuhimu wa ndoa kwako

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
528
Kwa mtazamo wangu nina mambo mawili yanayonifanya nitamani kufunga ndoa.

1.)Status-unaheshimika na jamii ukioa,sina jibu kwanini inakuwa hivyo la moja kwa moja...ila hicho kitu nimekiona mara nyingi.

2).Mipango inapangika-richa ya kuwa unakuwa unaingia kwenye majukumu mazito wanaume wengi huwa wanafanya malengo,dont know how is happen.

3).Watoto-kitendo cha kuwa na watoto ni furaha sana,ila kama umeamua kudhati kuzaa na kuchukua jukumu hili kwa moyo mmoja.

Tusiktukane...tushawishiane kwa point za msingi.
 
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
 
Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
 
Comment yako ina walakini sana...!
Labda nikuulize, hiyo pesa unayosema ni kiasi (shs) ngapi kwako? #nooffenceplz
 
Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
Nahisi hujaoa wewe na kama umeoa ndo kwanza una mwezi 1....Ndan ya maisha kuna mabonde na milima na lazima upitie yote hayo kwa maana hakuna anaetengeneza pesa miongon mwa mwetu so haiwezekan wewe uwe pesa throuh out....Na kwenye ndoa kukubwa ni upendo tu hata uwe huna mia upendo wa kwel upo pale pale...

Eti tafuta pesa ndo uoe na wale ambayo wanafanikiwa kwa kuchelewa mtu anapata pesa akiwa na 50s.....?
 
Nina miaka 7 kwenye ndoa
 
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili:
Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAK
 
Thank you. Pesa inatukuzwa mno Karucee. Money has nothing in itself by the way. It does follow our instructions diligently. So Mipango first, pesa inakuja tu. Mtu akipata pesa kabla ya mipango urahisi wa kuipoteza kwa spidi ya Km 120 kwa saa ni kubwa sana.

Plan , plan, plan

Hii over obsession na hela itafanya hata watu wasi discuss mambo muhimu. Money aside marriage has companionship and friendship and alot beteeen these two.
 
Last edited by a moderator:
1.)Status-unaheshimika na jamii ukioa,sina jibu kwanini inakuwa hivyo la moja kwa moja...ila hicho kitu nimekiona mara nyingi.

Na usipokuwa kwenye ndoa ndo unadharaulika au inakuwaje?
2).Mipango inapangika-richa ya kuwa unakuwa unaingia kwenye majukumu mazito wanaume wengi huwa wanafanya malengo,dont know how is happen.
This sure don't apply to me. I'm not married and I still got it together (even way more than a lot of married folks).
 
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"

Hela inatokana na fikra chanya kutoka kwa wale wazitafutao!!
Money is never a primary goal for marriage, just a medium of exchange!!
Nonbelievers only can worship money, with God you take & digest life faithfully!!
Marriage is more than Money tinna cutie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom