Umuhimu wa michepuko

upo sahihi
 
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Mi pia naona umuhimu wake
, umenena vyema
 
We muache tu ajishaue, uzuri mie sitohangaika nae, najitafutia faraja zangu huko kwa raha zangu. Nikirudi home ni mwendo wa mapambio tu na tabasamu tele.

Mecheka saaaana ujue auntie
 
We muache tu ajishaue, uzuri mie sitohangaika nae, najitafutia faraja zangu huko kwa raha zangu. Nikirudi home ni mwendo wa mapambio tu na tabasamu tele.
🤣🤣🤣🤣
 
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Kweli kabisa, michepuko inarahisisha sana maisha. Ni muhimu kuwa nao, ili baba chanja akikuvuruga unakuwa na mdaka chozi wako, ni hivyo tu yaani.
 
Upo sahihi kabisa Mkuu

Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake!

Sitaki kabisa kusumbuliwa
Yaani kama upo akilini mwangu, nami nimekutafutia mchepuko, maisha yamekuwa rahisiiiii.
 
Kweli kabisa, michepuko inarahisisha sana maisha. Ni muhimu kuwa nao, ili baba chanja akikuvuruga unakuwa na mdaka chozi wako, ni hivyo tu yaani.

Maisha yenyewe haya kupewa stress na mtu mmoja ili iweje
 
Mecheka saaaana ujue auntie
Kam anafikiri nitakaa nikimlilia na kumsumbua Mungu atulie hivyo hivyo. Nilipewa akili za kutumia sio kulilia vitu visivyo vya msingi.
Auntie nikirudi mwepeeeesi na mapenzi teleee.
 
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
huo ni uprostitute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…