Umuhimu wa michepuko

Upo sahihi kabisa Mkuu

Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake!

Sitaki kabisa kusumbuliwa
@espy yuko ngazi ipi hapo wewe mdaka chozi wa auntie
 
Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana

Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Hahaha hahaha hahaha
Umeamua kumwaga mboga kabisaaa
 
Sanchi kamchukulia bidada mwanaume wake?
yes: huyo anae mwitaga sukari guru wake ni Mme wa mtu ameoa na ana mtoto mmoja. Kibaya zaidi mume hasikii wala ahambiliki aise, kuna kipindi apo nyuma walikuwa na majibizano.
 
yes: huyo anae mwitaga sukari guru wake ni Mme wa mtu ameoa na ana mtoto mmoja. Kibaya zaidi mume hasikii wala ahambiliki aise, kuna kipindi apo nyuma walikuwa na majibizano.

Ndio nimejua leo kumbe ni mume wa mtu
Na huwa haoneshi sura ya bwana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…