Kwa wenye umri kidogo wanalielewa hili suala. Kwa taarifa yako wanaume wengi kabla ya kuoa walijiapiza kuwa hawatataka kabisa suala la michepuko lakini baada ya kuoa sarakasi ni nyingi mno hatimae kwa moyo wa upole wanajiingiza huko. Pia naamini katika uumbaji Mungu alitupendelea wanaume kwa kutuma hekima kubwa na maoni zaidi.Elezea kwa mifano
Ushauri mzuri nimepewa kwanzia mwaka umeanzaSio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
These creatures are short minded. If you don't agree with this get into business and then come with ur answer on the subjectUpo sahihi kabisa Mkuu
Wanatusaidia sana kupunguza stress,kwa kutambua umuhimu wao imenibidi hata mchepuko naye nimtafutie mchepuko wake,kwahiyo kila mchepuko na mchepuko wake
Sitaki kabisa kusumbuliwa
Evidence number oneUshauri mzuri nimepewa kwanzia mwaka umeanza
Ahsante mpendwa
Waonaje Mpango wako uwe ni kwangu?Sio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Sisi hata tukichepuka huwa ni ngumu sahau mke ulimuacha ndani na watoto kwaiyo ndoa huwa ni ngumu vunjika, tatizo kwenu mkianza akili zenu zote huwa mnaziacha uko kwa michepuko yenu, kinachofuata ni kukutalaki kisha naenda opoa kibinti kingine cha miaka 18 na kiweka ndaniSio wanaume tu
Hata sisi wanawake inatusaidia sana
Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni fanya ufanyavyo uwe na mpango kando ili siku MR akikuliza upate pa kudekea
Waonaje Mpango wako uwe ni kwangu?
Mr akikuliza mimi nitakudekeza
Hutajuta kuwa na Mimi Jonah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hata tukichepuka huwa ni ngumu sahau mke ulimuacha ndani na watoto kwaiyo ndoa huwa ni ngumu vunjika, tatizo kwenu mkianza akili zenu zote huwa mnaziacha uko kwa michepuko yenu, kinachofuata ni kukutalaki kisha naenda opoa kibinti kingine cha miaka 18 na kiweka ndani
Tupo sita joanahKaribu sana...kama wapo wengine huko niletee tafadhali
Mbona yeye ndio kanifundisha