Maisha ya boarding unaitwa mkorogo.Sukari na maji haitwii Chai...
Do usinikumbushe Enzi za solution na mkate.Maisha ya boarding unaitwa mkorogo.
kinachosababisha hicho kinywaji kuitwa chai ni hayo majani, lakini pamekuwa na mazoea kuita kinywaji hiki chai hata kama hujaweka hayo majani.Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai.
Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji}
Huku kwetu upo mseto unaitwa mtundura hauna sumu nicotine. ..Mimi binafsi huwa sipendi kutumia majani ya chai ila huwa natumia yale majani yenye harufu tamu sana huku kwetu tumezoea kuita mchai chai.