Umuhimu wa kuvaa nguo za ndani

Hahahaha!!picha imehusika eti eeeeeee Paprika.

Kwani kiharage cha papuchi ni kigumu?

Cc:Compact
Unajua kwa nini wakekifananisha? Harage ukilichemsha hutanuka na kuwa likubwa na litamu sana ukilila. Ndivyo hivyo.... Kisimiii nacho ukikichezea hupanuka na kuwa kama kimedinda fulani, nacho ni tamu haswaa ukinaniliii.

Achia mbali muonekano wake....
 
popo bawa utamuepuka kwa kujaladia nguo za ndani. ila pia mwanamke akivaa nguo ya ndani anavutia zaidi haswa pale blauz inapopanda juu then chupi inakuwa imepanda juu ya suruali kiunoni
 
Wanabodi salaam,

Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi kuna umuhimu wa kuvaa nguo za ndani, sawa iwe kwa mwanamke au mwanamme. Hivi hizi nguo za nje si zinatusitiri tayari?

Wajuzi waniweke sawa.
Mkuu ulifika darasa la ngapi? Maana kichwa cha habari kina ukakasi na maelezo yako.
 
Unajua kwa nini wakekifananisha? Harage ukilichemsha hutanuka na kuwa likubwa na litamu sana ukilila. Ndivyo hivyo.... Kisimiii nacho ukikichezea hupanuka na kuwa kama kimedinda fulani, nacho ni tamu haswaa ukinaniliii.

Achia mbali muonekano wake....
Hahahahaha!!kwa maelezo na mfano huo adhimu nimekuelewa sana tu mkuu Compact.

Paprika yeye muoga hata kuandika kiharage.
 
Yaani kwa mwanaume usipovaa nguo ya ndani kama una mzigo (dushe na ving'amuzi vyake) huwa vinachangua mashamba yaani shamba hili na lile langu yaani, ni kushoto kulia au kama mwendo wa kijeshi
Na kwa wadada nao msambwanda unakuwa kama kuna paka wawili kwenye gunia wanapigana ni mwendo wa hamsini na hamsini mia
Pafu 2 tu leo, nimevuta
 
Unajua kwa nini wakekifananisha? Harage ukilichemsha hutanuka na kuwa likubwa na litamu sana ukilila. Ndivyo hivyo.... Kisimiii nacho ukikichezea hupanuka na kuwa kama kimedinda fulani, nacho ni tamu haswaa ukinaniliii.

Achia mbali muonekano wake....
Oooh! Kumbe
 
Nguo za ndani ya nchi au nje ya nchi?? Maana wabongo wengi hawavai nguo za ndani

Nitakuambia moja tu.

Nguo za nje (kama unavyodai) zinaweza zikasababisha kuota "Sugu" maeneo nyeti.

Mfano mwanamke awe mpenzi wa nguo nzito kama jeans, kama hatavaa chupi au nguo yeyote ya ndani basi nguo hiyo aina ya jeans inaweza kukomaza papuchi (sehemu ya harage. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, msuguano wa papuchi na nguo hiyo itakuwa mkubwa na baadae hupelekea kuota sugu mahala huko.

Kukomaa huko kunaweza kuleta gumzo maana huenda mwanamke na mwanamke huchelewa kupata msisimko kunako.

Ni mtazamo wangu. Barikiwa.
duuh!...
 
Nimeona nirudi kuweka sawa. Mbona mnazungumzia kufuli tu i.e. pichu?, je sidira, kirinda, vest, skintight nk hizi si za ndani?
 
Back
Top Bottom