aaaah imani tu hapo...ukiamini kua ukiacha kwenda mambo yako hayatoenda bhas jua itakua ivyo..ila ukiwa kama mimi don care mambo yako yanaenda vizuri tu..angalia imani yako tu inakusukuma ufanye nini mkuuu.Kwanza nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu yenye swali mwishoni.
Mimi nilishaondokwa Na baba yangu mzazi tangu mwaka 2004 Na akazikwa nyumbani kwao mkoa flan hapa hapa Tanzania.
Ukweli Ni kwamba mahali alipozikwa Ni mbali kidogo na tunapoishi mim na Mama yangu mzazi.
Sasa Tangu wakati huo amefariki Na kuzikwa mim sikuwahi kwenda kabisa kufunga safari Na kwenda kutembelea kaburi lake kwa namna yoyote Ile.....mpka hivi sasa baba zangu zaidi ya watatu wameshakufa Na kuzikwa pembeni yake still sijawahi kutembelea eneo la makaburi.
Sasa kunawakati napata misukosuko kweny maisha mpka najikuta kuhusianisha Na Hili swala...sifahamu Kama nakosea kufanya hivi au lah.
Ndo mana Leo nimeona kuuliza kwa wataalam humu ndani itaweza kunipa mwanga kidgo.
Je Kuna madhara yoyote spiritually ya Mimi kutodhuru makabuli ya baba pamoja Na ndugu zangu? Na nitakapokwenda kudhuru huko Kuna faida zozote spiritually?
Ahsanteni Na nahitaji mawazo yenu tafadhari. Samahani kwa niliekukera kinamna yoyote.
Umuhimu upo tena mkubwa tu.Faida ipo, vp ushajiuliza sababu inayotufanya tuwakumbuke waliotutangulia kwa maombi??
Mara nyingine ndugu waliotutangulia yawezekana ndiyo walikuwa mashujaa wetu; sasa kwa nn tusitembelee mahali tulipo wapumzisha?
Kutembelea makaburi siyo vibaya japo usihusishe na changamoto unazopitia.
Hata hivyo kuna relief utapata, tembelea ukafanye na usafi kabisa....
Imani uja kwa kusikia neno la Mungu na si kwa imani yako kila imani inachanzo chake.Wewe imani yako is dont care huyu mwenzako tangu awali alikuwa anaibada za wafu au mizimu so alijiconnect sasa bila kuwa na mawasiliano.nayo uleta shida ndani ya maisha yake.aaaah imani tu hapo...ukiamini kua ukiacha kwenda mambo yako hayatoenda bhas jua itakua ivyo..ila ukiwa kama mimi don care mambo yako yanaenda vizuri tu..angalia imani yako tu inakusukuma ufanye nini mkuuu.
Madhara au Faida hamna mtu ataekuja kuthibitisha hapa 100% kua kuna madhara au faida,ndio mana hata usiku wakat wa kulala au wakat wa kula kuna wanaoamini bila kuomba kumshukuru mungu Si vizuri na kuna wasio amini lkn wote mambo yanaenda na maisha yanasonga.
Angalia imani yako mkuuu.
Wewe hacha uongo hayo ndio.mafundiaho ya RC sasa mtu ameshakufa wewe umkumbuke kwa maombi ili iweje hakina mawasilianao.kati ya mtu aliyekufa na aliye hai .Mtu ukifa no more communication Bibilia imekataza ibada za wafu ndugu zangu.Soma Waebrania9:27 baada ya kifo ni hukumu ukimuombea aliyekufa ni kujilisha upepo.Faida ipo, vp ushajiuliza sababu inayotufanya tuwakumbuke waliotutangulia kwa maombi??
Mara nyingine ndugu waliotutangulia yawezekana ndiyo walikuwa mashujaa wetu; sasa kwa nn tusitembelee mahali tulipo wapumzisha?
Kutembelea makaburi siyo vibaya japo usihusishe na changamoto unazopitia.
Hata hivyo kuna relief utapata, tembelea ukafanye na usafi kabisa....
Umuhimu wa kuzuru makaburi ni kupata hofu ya kifo na kukumbuka kuwa sote tutakufa kwa iyo tukio hai tujiandae mana kifo hakina hodiKwanza nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu yenye swali mwishoni.
Mimi nilishaondokwa Na baba yangu mzazi tangu mwaka 2004 Na akazikwa nyumbani kwao mkoa flan hapa hapa Tanzania.
Ukweli Ni kwamba mahali alipozikwa Ni mbali kidogo na tunapoishi mim na Mama yangu mzazi.
Sasa Tangu wakati huo amefariki Na kuzikwa mim sikuwahi kwenda kabisa kufunga safari Na kwenda kutembelea kaburi lake kwa namna yoyote Ile.....mpka hivi sasa baba zangu zaidi ya watatu wameshakufa Na kuzikwa pembeni yake still sijawahi kutembelea eneo la makaburi.
Sasa kunawakati napata misukosuko kweny maisha mpka najikuta kuhusianisha Na Hili swala...sifahamu Kama nakosea kufanya hivi au lah.
Ndo mana Leo nimeona kuuliza kwa wataalam humu ndani itaweza kunipa mwanga kidgo.
Je Kuna madhara yoyote spiritually ya Mimi kutodhuru makabuli ya baba pamoja Na ndugu zangu? Na nitakapokwenda kudhuru huko Kuna faida zozote spiritually?
Ahsanteni Na nahitaji mawazo yenu tafadhari. Samahani kwa niliekukera kinamna yoyote.
mkuu, kuwa mpole! Je umewahi kumpoteza mtu muhimu kwako? Kama ndiyo huwa unamwombea nn huko aliko? Nijibu hapo kwanza tuendelee...Wewe hacha uongo hayo ndio.mafundiaho ya RC sasa mtu ameshakufa wewe umkumbuke kwa maombi ili iweje hakina mawasilianao.kati ya mtu aliyekufa na aliye hai .Mtu ukifa no more communication Bibilia imekataza ibada za wafu ndugu zangu.Soma Waebrania9:27 baada ya kifo ni hukumu ukimuombea aliyekufa ni kujilisha upepo.
MSHANA YUKO LIKIZOMkuu Mshana akipita hapa anaweza kusaidia zaidi.
sawa hamna shida..Unachokifikiria ndicho kinachokutokea acha iman potofu