Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,933
- 9,034
- Thread starter
- #21
Ahsante kwa
Ahsante kwa wazo mkuu.......umeniongezea kituaaaah imani tu hapo...ukiamini kua ukiacha kwenda mambo yako hayatoenda bhas jua itakua ivyo..ila ukiwa kama mimi don care mambo yako yanaenda vizuri tu..angalia imani yako tu inakusukuma ufanye nini mkuuu.
Madhara au Faida hamna mtu ataekuja kuthibitisha hapa 100% kua kuna madhara au faida,ndio mana hata usiku wakat wa kulala au wakat wa kula kuna wanaoamini bila kuomba kumshukuru mungu Si vizuri na kuna wasio amini lkn wote mambo yanaenda na maisha yanasonga.
Angalia imani yako mkuuu.