Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,933
- 9,033
Kwanza nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu yenye swali mwishoni.
Mimi nilishaondokwa Na baba yangu mzazi tangu mwaka 2004 Na akazikwa nyumbani kwao mkoa flan hapa hapa Tanzania.
Ukweli Ni kwamba mahali alipozikwa Ni mbali kidogo na tunapoishi mim na Mama yangu mzazi.
Sasa Tangu wakati huo amefariki Na kuzikwa mim sikuwahi kwenda kabisa kufunga safari Na kwenda kutembelea kaburi lake kwa namna yoyote Ile.....mpka hivi sasa baba zangu zaidi ya watatu wameshakufa Na kuzikwa pembeni yake still sijawahi kutembelea eneo la makaburi.
Sasa kunawakati napata misukosuko kweny maisha mpka najikuta kuhusianisha Na Hili swala...sifahamu Kama nakosea kufanya hivi au lah.
Ndo mana Leo nimeona kuuliza kwa wataalam humu ndani itaweza kunipa mwanga kidgo.
Je Kuna madhara yoyote spiritually ya Mimi kutodhuru makabuli ya baba pamoja Na ndugu zangu? Na nitakapokwenda kudhuru huko Kuna faida zozote spiritually?
Ahsanteni Na nahitaji mawazo yenu tafadhari. Samahani kwa niliekukera kinamna yoyote.