Umuhimu wa kuifufua new Young

Umuhimu wa kuifufua new Young

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
4,826
Reaction score
12,470
Kwa mwenendo na mstakabali wa timu zetu za kariakoo (Msimbazi na Jangwani) na kumbato lao la kisiasa basi hatuna budi kuifufua New Young Ili kuwa kimichezo zaidi na kuweka kando siasa.

Watoto wa Mtaa jangwani
Wenyewe wamebobea kuipa mbeleko CC ni CC.

Watoto wa Msimbazi
Wenyewe wamebobea kwenye utapeli wa kimkataba Toka kwa gabachori.

New Young ndio suluhisho Ili kuondoa watoto hawa pendwa Toka kwa CC ni CC.

Fikra mpya ndio zitawale maana hii timu ilikuwepo 1920 kabla ya Young African na Queens,Eagle, Sunderland, Simba kuwepo.
 
Hueleweki..kichwa cha habari unataka new young... Lakini ndani ya habari yenyewe unaongelea mambo ya simba na yanga.....?? Halafu unawaona simba kwamba wamebobea kwenye utapeli wa gabachori..huku unasahau yanga Yako Iko chini ya utawala wa kitapeli wa GSM ..... Tena afadhali hata ya mwamed ana aibu kidogo... na anafuata taratibu za soka kuliko huyo GSM hata tone la aibu hana anaitumia yanga kwenye masuala ya siasa..ameidumbukiza yanga kwenye ccm Ili mambo yake ya biashara yaendelee vizuri....
 
Back
Top Bottom