Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,982
- 4,164
OK inahitajika Monitor, DVR or, NVR, camera, Bloc connector, cables, Hard Disk, UPS, PSU,
Hapo mkuu kazi inakuwa imekamilika zingine ni minor sana
Sasa unaweza kutupa michanganuo ya gharama za vifaa hivyo. Kwa mfano nyumba yakawaida tu kwenye eneo la robo na nusu ekari kutahitajika CCTV camera ngapi na zinaweza kugharimu kiasi gani cha pesa?hizo ni kama unataka kununua kila kitu wewe