Umuhimu wa kufunga CCTV camera nyumbani, ofisini

OK inahitajika Monitor, DVR or, NVR, camera, Bloc connector, cables, Hard Disk, UPS, PSU,
Hapo mkuu kazi inakuwa imekamilika zingine ni minor sana
hizo ni kama unataka kununua kila kitu wewe
Sasa unaweza kutupa michanganuo ya gharama za vifaa hivyo. Kwa mfano nyumba yakawaida tu kwenye eneo la robo na nusu ekari kutahitajika CCTV camera ngapi na zinaweza kugharimu kiasi gani cha pesa?
 
Mtoa mada haujajipanga ww na wala haupo siriaz na biashara yako acha kuzunguka to a bei hivyo vifaa mie havinihusu kuna unaweza ukatoa minimum kwa 4 kamara na maximum vile vile lakini naona unaruka ruka tu
Aisee kaman unaona ujaridhik na maelezo ujalazimishwa kuchangia coz mm ndo kazi zangu na sio Mara ya kwanza kuzifanya hizi kazi so huwezi kunilazimisha kukuambia kitu ambacho ata nikikwambia humu hutoelewa kama si mtaalam so if you are not interested pita tu na kwa watu ambao ni interested washanipigia na wamepata maelezo ya kutosha
 
Hayo maelezo ya kutosha uyaweke hapa sasa..Weka mfano nyumba ya ukubwa fulani inaweza ikahitaji camera kadhaa na gharama za vifaa na ufungaji unataja..Mbona rahisi tu.
Then utaona pm zitakavyojaa
 
Aisee kaman unaona ujaridhik na maelezo ujalazimishwa kuchangia coz mm ndo kazi zangu na sio Mara ya kwanza kuzifanya hizi kazi so huwezi kunilazimisha kukuambia kitu ambacho ata nikikwambia humu hutoelewa kama si mtaalam so if you are not interested pita tu na kwa watu ambao ni interested washanipigia na wamepata maelezo ya kutosha
Acha kukurupuka uwe unakuja na taarifa kamili
 
Jaman Norman Ltd kama hauko vizuri na marketing of your products and services you should not bring incomplete information. Remember we want to buy but we need to have concrete information. No shortcuts here!
 
hahaha mkuu kama mtu hayupo tayar hata uweke nn hawezi !!
Camera 4 - 800,000Tsh
NVR - 300,000
cable, IP switch, HDD, monitor , UPS, PSU, cost of installation - 2,000,000
TOTAL ni kama 3,100,000
Hapo mpaka minor devices itakuwa included na hyo ni kwa nymb itakayotumia camera 4 na cat6 cable ya kama 200m
 
I know you need complete information but kazi hizi sio kama kazi za website mfano ambazo unajua gharama zote Mwanza mwisho so nafanya hivi kwasababu ilishawahi kunikuta wakat naanza kazi nilimtajia MTU bei then nilipoenda site nikakuta vitu tofaut na alivyokuwa ananiambia ndo maana siku hizi huwa tuanfanya kwanza site survey ndo tuanaanza cost estimation!
 
inawezekna mkaona nimekurupuka kutokanaa na kutotaja exactly cost but najua effect ya kutaja cost kwa watu wenye uhitaji tofauti kwangu! ndo maana kuna another means of communication ya kupata maelezo zaid ( phone number)
 
No usiseme ni vichwa panzi Hii inatokana na kutojua aina na ugumu wa kazi na wengine huwa wanafanya makusud kabisa !!! Ila sidhani kama civil engineer atasema humu kuwa najenga nyumba ya ghorofa 10 alaf ukaanza kumwambia taja bei wakat ajajua ata kuwa unataka hyo nyumba ijengwe kwa material ya aina gani!
Najua humu kuna Lawyers, politicians, businessman but kama kazi zako ni cost yake huwa ni direct usimfanye mwingne awe kama wewe!
 
hahaha mkuu kama mtu hayupo tayar hata uweke nn hawezi !!
Camera 4 - 800,000Tsh
NVR - 300,000
cable, IP switch, HDD, monitor , UPS, PSU, cost of installation - 2,000,000
TOTAL ni kama 3,100,000
Hapo mpaka minor devices itakuwa included na hyo ni kwa nymb itakayotumia camera 4 na cat6 cable ya kama 200m
Mkuu unaposema Camera 4 unamaanisha idadi au ni aina ya Camera?
 
Mimi nataka kujua CCTV camera inaweza kukaa standby kwa muda gani bila kuzimwa? Je inatumia HDD yake ina uwezo wa kuhifadhi taarifa za video kwa muda gani? Je naweza funga CCTV camera ikafanya kazi mwezi mzima bila kuzimwa?
 
Haya fanya eneo la nusu heka ni au robo heka inakuwa shilingi ngapi,, kuwa specific watu tukuelewe vzr,,
 
Mbona hutaji bei? ukiambiwa taja bei unaleta hoja za survey,umbali mara camera 4 oh camera 20,taja makadirio ueleweke
 
hahaha mkuu kama mtu hayupo tayar hata uweke nn hawezi !!
Camera 4 - 800,000Tsh
NVR - 300,000
cable, IP switch, HDD, monitor , UPS, PSU, cost of installation - 2,000,000
TOTAL ni kama 3,100,000
Hapo mpaka minor devices itakuwa included na hyo ni kwa nymb itakayotumia camera 4 na cat6 cable ya kama 200m
Ndo maana jamaa karukaruka mda mrefu. Mi nafikiri huyu ni dalali fulani . Maana cctv hazijaingia mwaka huu, bei yake kwa hizo camera nne haizidi 1.3 m . Akileta ubishi mie niwape namba za fundi. Huyu dogo anatia mashaka sana .
 
Ebu uone jamaa asivyo na aibu vitae sh 1.1m ufundi 2 m . Hapo wakuu kumbukeni mbayuwayu wa msoga alisema neno
 
hivi HDD, monitor, DVR na cable utanunua kwa gharama gani? mkuu nimefunga hizo kwenye hotel zaid ya 4 mpaka sasa na nyumba binafsi 2 so najua nachokifanya ndo maana ata kazi za website MTU anaweza akakutengenezea kwa 300,000 lakn mwngne kwa 900,000 but wote wanaweza wakatumia softwares kama WordPress so kama wewe unafanya kwa bei rahisi usifanye na mm nifanye kama wewe
 
Ndo maana jamaa karukaruka mda mrefu. Mi nafikiri huyu ni dalali fulani . Maana cctv hazijaingia mwaka huu, bei yake kwa hizo camera nne haizidi 1.3 m . Akileta ubishi mie niwape namba za fundi. Huyu dogo anatia mashaka sana .
Toa tu namba coz naweza nikamtumia kama anabei rahisi nitakuwa sipati tabu kuwalipa mafundi wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom