Tunafanya Biashara ya kufunga GPS, CCTV camera

chief kaselya

New Member
Mar 17, 2024
2
2
TANGAZO TANGAZO.

Kwa huduma Bora za kiteknolojia, karibu AVANOS COMPANY Kwa huduma zifuatazo;

1. Kufunga GPS kwenye pikipiki,bajaji & magari,na kuunganishwa Kwenye simu Yako, hivyo kuona chombo chako kilipo.
•kuzima na kuwasha chombo chako kupitia simu yako hata kama ukiwa mbali .
• kuona matumizi ya mafuta ya chombo chako kupitia simu yako.
• Live streaming ( kuona na kusikia maongezi kupitia simu iwapo dereva/watu waliomo kwenye gari watapata tatizo kama vile kuvamiwa, hivyo kuwaona wahusika kupitia simu yako.
•kupata taarifa haraka,iwapo chombo chako kimeenda nje ya mipaka ulimokiwekea,mfano nje ya wilaya,mkoa au nchi.

2. Kufunga CCTV CAMERA, nyumbani, ofisini na maeneo mengine na kuunganishwa Kwenye simu Yako na kuweza kuona matukio na kusikia maongezi kupitia simu yako hata ukiwa mbali.

3. Kufunga fensi za umeme(electric fence).

4.Kufunga mifumo ya kusimamia biashara Yako kupitia simu hâta ukiwa mbali,utaona mauzo,bidhaa zilizobakia dukani au stoo kupitia simu yako.

~Tunatoa huduma zetu ndani na nje ya Tanzania.

Contact;0699445555/0755303388.
 
Back
Top Bottom