Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Hili jeshi lilikuwa taasisi nzuri sana, ila kwa sasa limepoteza credibilty yake mbele ya raia toka lianze kutumika na hawa mashetani ccm.Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii
Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua
Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk
Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi
Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,
Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.
Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka
MAMLAKA YA POLISI
Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika
Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa
Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria
Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
mbona unawahi kutuziba mdomo kwa kuongea maneno ya ajabu ajabu badala uwakilishe tu maoni utuachie sisi tunaojua utendaji wa polisi wenyewe ?????Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii
Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua
Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk
Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi
Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,
Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.
Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka
MAMLAKA YA POLISI
Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika
Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa
Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria
Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
Mkiiba kura tutaandamana, msitutisheJeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii
Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua
Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk
Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi
Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,
Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.
Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka
MAMLAKA YA POLISI
Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika
Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa
Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria
Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
Huvi kwanini sisi tukaita Jeshi la Polisi badala ya Idara ya Polisi maana Jeshi Ni moj tu
Inawapa kiburi wanajiona na wao ni Jeshi wakati ni Idara yenye silahaJua kwanza maana ya neno jeshi ndo utajua kuna mpaka jeshi la wokovu.
Hawa watu sijawahi kuwapenda wala kuwashirikisha katika shida inayohusiana na jukumu lao. Huwa sina imani nao kwani ni wapenzi sana wa rushwa.
Cha pili mara nyingi matamko yao huwa hayazingatii weledi wa kazi au majukumu yao mengi huwa ni mashinikizo ya kisiasa
Inawapa kiburi wanajiona na wao ni Jeshi wakati ni Idara yenye silaha