Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Ukitaka kujua umuhimu wa michepuko endesha gari jijini!
Kwanza utakuwa umerahisisha kuongea sana gari kama nzuri umemaliza lazima ujibebee kichepoko chako kilaini...
Pili utakuwa umevunja sheria lakini inakusaidia sana kuwahi dili zako sehemu au ofisini michepuko mimi naona ingehalalishwa tu maana wakati mwingine ni msaada sana kwa watu kutimiza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa.
Unatokaje posta mpaka mbezi bila kuchepuka?
Unaendaje morogoro kwa semina ya week usijichepukie?
Michepuko sio mibaya sana!