ewardmuganda
Member
- Dec 28, 2015
- 13
- 6
Guys watsup.??
Hope u are doing fine.
Leo nmeamua kuandaa hii article. Its abt HOROSCOPE, waswahili huita utabiri wa nyota.
Kabla, sikuwai kufikiri wala kuwaza kusoma hizi habari za utabir wa nyota. Nilidhan ni mambo ya uswahili tuu, sababu siamin katka utabir usio na element za kidin.
Siku moja ilipita page FB kwa ukurasa wng, ukitangaza hiz daily HOROSCOPE sites. Ikabid nsome comments kwanza, nlichogundua watu wengi wanafatilia ingawa wengine wali-coment negative abt horoscope. Baadhi wakataja wao ni LEO, AQUARIOUS,SCOPION etc. Nlipotoka hapo nikaanza utafit wng juu ya hii kupitia google, wikipedea na net search ingine nyingine.
** matokeo ya tafit binafsi
Kwanza most of informations was true abt me ( I saw real me). Abt 73% was real me.
** mtizamo wangu
NYOTA ni halisi na most of informations ni kwel, nahis baada ya Mungu kumuumba mwananadamu alielekeza tabia, karama na vitu vingine katika miez 12 ya mwaka. Kwa hivyo kila mtoto anapozaliwa anabeba uwezo/tabia za mwez husika alozaliwa. Kwa maana hiyo hiz tabir za nyota ni manual/mwongozo wa tabia, mwenendo na uwezo wa mzaliwa.
** umuhim wa ufaham huu
Kwanza tujitambue
Kabla sijasoma hii manual kuhusu me, sikua najua naweza kufanya nin kwa ukamilifu, how far can i go ( I didn know wat am capable of). Na kama hujui/hujijui ni rahis kukata tamaa ama kukatishwa tamaa ktk kuyafikia malengo yako. Kujua nin unataka, uwezo wako ni upi katika kukamilisha ndoto zako ni muhim sana.
Binafsi nmejifunza kuhusu me na naendelea kujifunza kuhusu me na naendelea kuutafuta upekee nlonao. Inanijenga sana na nna ejoy kua me siku hadi siku. I know wat i can do and wat not to do, for the best future.
> > > Unaeza kujua yafuatayo kuhusu wew.
* tabia zako
* namna ya ku- handle relationships zako( kulingana na ulivyo)
* recomended jobs for u( wat job unaeza kufanya kwa ukamilifu)
* nan unamuhitaji kwa suport to success n.k
So nenden msome hiz vitu msizipuuze, jielewe vyema ila usijihusishe na utabir wa ushirikina/ uganga sio kusudio la Mungu, hakuna anae kujua zaid kuliko Mungu. Nyota haisafishwi na maelezo hayabadilik, ile ni muongozo wa namna ya utendaji kaz zako kuelekea mafanikio. So, jitambue wew ni nan kwanza, fanya kazi kwa bidii, sali sana utafanikiwa sana.
Keep chasing ur dreams.
#ewards#