Umuhimu mkubwa wa kuwa single

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,635
4,160

WAKUU,

NYAKATI ZA KUELEKEA SHEREHE NA MISIMU YA SIKUKUU
NDIPO UMUHIMU MKUBWA WA KUWA "THINGO" UNADHIHIRIKA.

HAKUNA KABISA ZILE RAB'SHA_RAB'SHA ZA KIKOSI CHA MIZINGA ZILE!!!

WALETI ZINATULIA TULIIII!!!
 
Eeeehhh..!!!nimeanza kutafutwa siku za sikukuuu kuna vizinga hapa subiria kwanza sikukuu ziishe
. Na ambavyo wakurya sio wagumu kwenye suala la utoaji. Sikukuu zikiisha utanijibu basi. Unaweza ukanijibu leo ukanipa kishawishi cha kukupiga kizinga bure
 
. Na ambavyo wakurya sio wagumu kwenye suala la utoaji. Sikukuu zikiisha utanijibu basi. Unaweza ukanijibu leo ukanipa kishawishi cha kukupiga kizinga bure
We Ucjali afu nimeipenda avatar yako ila baada ya sikukuu sio saivi
 
Back
Top Bottom