Umughaka vs analyse nani mkali

Nimejikuta kuwapenda hawa jamaa kwa story zao wamazodai ni za kweli ingawaje nyingi ni za kufikirika. Wewe unamkubali nani?
Naona kila siku nyuzi za kumpambanisha UMUGHAKA na waandishi wengine zimepamba moto,kama ndivyo huyu bwana UMUGHAKA ndiye mfalme wa simulizi kwasababu kila mwandishi anapambanishwa nae.

Mkuu UMUGHAKA njoo unaitwa huku
 
🤔mbona kama wote ni wapambanaji sio mchezo ujue, chaajabu mughaka ameisha shika pesa bandia, bunduki ..etc
Kwa upande wa Analyse 🔥 huyu apostle ana mabalaa yake, maana ukiingia town ni most wanted!! Amepiga dili za hatari😲usipime. Mashangazi mziki wake hawawezani nao🤣😅 anyway ingekuwa ni nyimbo ninge wakutanisha studio waingize voko zao na chorus lazima Jack Daniel angepitamo.😅

Tunawashukuru wote🙏🙏
 
Hawa jamaa Kama ni kweli wamepitia hayo wanayosimulia basi Kila kitu kwao kinawezekana
 
Hii inaitwa mama mkanye mwanao. Sioni siku za usoni akikuita tena 😄
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…