Sioni tatizo la uzi wako ! Hata mimi nilihoji na kuchangia mara nilipoona umri wake. Na uelewa wangu ilikataa hizo number, chukulia SK alishiriki Tamthilia za Kaole kwa miaka 5, kisha Bongo movie miaka 5 (mpaka kupata umaarufu !) utapata miaka 10. Ukitoa miaka 28, utakuta - Kaole kaanza na miaka 18, ambacho si kweli ! Sasa kwanini tushirikishwe kwenye uongo ?!?!!!