Umri wa WATAWALA wetu

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266


AFRICAN LEADERS

Abdoulaye Wade ( Senegal )- age 83

Hosni Mubarak ( Egypt ) - age 82

Robert Mugabe ( Zimbabwe ) - age 86

Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) - age 74

Rupiah Banda ( Zambia ) - age 73

Mwai Kibaki ( Kenya ) - age 71

Ellen Johnson Sirleaf ( Liberia ) - age 75

Colonel Gaddafi ( Libya ) - age 68

Jacob Zuma ( South Africa ) - age 68

Bingu Wa Mtalika (Malawi) - age 76

John Evans Atta-Mills (Ghana) - age 67


Average Age: =======================75.6

Approximately 76 years
_____________________________


THE WESTERN WORLD


Barrack Obama ( USA ) - age 48

David Cameron ( UK ) - age 43

Dimitri Medvedev ( Russia ) - age 45

Stephen Harper ( Canada ) - age 51

Julia Gillard ( Australia ) - age 49

Nicolas Sarkozy ( France ) - age 55

Luis Zapatero ( Spain ) - age 49

Jose Socrates ( Portugal ) - age 53

Angela Merkel ( Germany ) - age 56

Herman Van Rompuy ( Belgium ) - age 62


Average Age: ==================== 51.1

Approximately 51 years

______________________________


DIFFERENCE: ==================== 25 years




Nashangaa leo kuna watu humu JF wanapiga kampeni eti Mwandosya, Sumaye and Lowasa waje kututawala in2015

Na kinachositikisha zaidi ni kuwa Cabinet ya JK haina mtu hata mmoja aliye na umri chini ya miaka 37!

Tanzania sasa ina populationa mabyo 70% wana umri chini ya miaka 30!

No wonder they care less about connecting with the masses. Rais hana website, MEMBE of all ministers ofisi yake haina website, PM (huyu atakuwa excused yuko bize analima) Waandishi wetu wa Habari, wako 2 decades behind, ndio maana wakienda kwenye Press Conference huwa hawaulizi hawa watawala kulikoni kuhusu haya mambo ya wizara husika kuwa na websites na namna ya ku connect na 70% of our population

Lakini ajabu ya dunia ni Ikulu kuwa na WEBSITE inaitwa blogspot!



GUYS, HOW DO WE MOVE FORWARD WITH THIS OLD SQUAD ?!!
 
Kwakuwa hesabu zako hazikujumuisha maraisi wote wa africa na marais wote wanchi zilizoendelea, ni lazima utujulishe hao uliowachangua ulitumia kigezo gani?
 
Naona mleta taarifa hii kachukua tu wenye umri mkubwa na umri mdogo anaowafahamu yeye bila kufanya random sampling. Pengine ndo maana anaona viongozi wa Afrika wana umri mkubwa.
 
Huu uchambuzi ni makini na umetolewa na mtu mwenye uwezo wa ku-focus miaka 20 mbele.
Pia ni akisi ya bara maskini katika sayari yetu na kile kilichousababisha.
 
Back
Top Bottom