Umri wa msichana kuolewa ni upi?

Umri wa msichana kuolewa ni upi?

Sorry, sasa sheria zinazotumika sasa ni za mwaka gani?
Je, na kama bado zinatumika hizo hizo za miaka ya 70, je , nikioa binti wa miaka 16, ntakuwa namakosa?
Kama umepewa idhini na walezi huna kosa,kama hujapewa ni kosa kwa sababu under 18yrs hana ruhusa ya kuingia mikataba.
 
Sorry, sasa sheria zinazotumika sasa ni za mwaka gani?
Je, na kama bado zinatumika hizo hizo za miaka ya 70, je , nikioa binti wa miaka 16, ntakuwa namakosa?
mimi nijuavyo ni ile ya mwaka '71 lakini sijajua kama ilifanyiwa marekebisho hadi leo..Mkuu sasa hivi watu wamechachamaa unaweza ukawekwa hatiani ukioa..vumilia miaka miwili awe 18
 
Wajemeni habari zenu,
nauliza umri wa msichana/kigori wa kitanzania kuolewa ni upi?
Hapa nauliza sana sana umri kisheria wa msichana kuingia ktk ndoa. Lakini ukatanabaisha pia umri sahihi kimila na desturi zetu, au hata pia imani za kidini.
Karibuni.[emoji141]
Hata 35 sio mbaya
 
Hivi karibuni kulikuwa na mijadala iwe 21 sina uthibitisho kama imeshapitishwa na serikali ila dabate ilikuwepo.

Sheria ya 1971 ya Ndoa inatoa ruhusa kwa ke akiwa na 14 ila kwa ruhusa ya mahakama. Uhalali ni 18 kwa 18 maana wanaooana wanatakiwa wawe watu wazima. Ila kumbuka sheria za shule zinamlinda utakaye muoa akiwa na huo umri hivyo usiingie kichwa kichwa.

Ni kama sheria ya Ajira kwa mtoto hamna. Ila Mtoto wa 14 anaweza kuajiriwa ila sio kwa kazi zote uhalali mpaka 18 . Wanasheria Watasema zaidi.
binadam kwa kujichanganya..kwani wote wanaendelea na shule baad ya msingi..au ndo awe pa kujaribia baleghe mpaka afikishapo 18
 
binadam kwa kujichanganya..kwani wote wanaendelea na shule baad ya msingi..au ndo awe pa kujaribia baleghe mpaka afikishapo 18
Mkuu hiyo ni sheria. Ila kumbuka elimu ya msingi tunakoenda itabadilika badala ya kuwa hadi 7 itakuwa hadi form four.
 
14 isibadilishwe ni sahihi kbs,kakiwa kidogo ni rahisi sana kukajengea misimamo yako.
 
Kibongo umri wa msichana kuolewa ni pale sheria ilipobainisha ukomo wa utoto. So 18+ aheria inaruhusu kuolewa.

Kimila kwa tamaduni nyingi za kiafrika binti akishavunja ungo basi huyo anafaa kuolewa.

Kidini kuna imani binti anaolewa hata akiwa na miaka 10. Japo bado anakuwa ni mtoto kwa mujibu wa sheria ya ndoa.

Labda utuambie sasa mantiki ya wewe kuuliza hili swali
Mantiki ya swali ni kupata majibu kama haya. Safi sana kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom