Umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18

Umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18

mbona miaka mingi tu sasa kwa 14 years ukiwa CCM unapiga kura
 
Asasi ya HakiElimu imependekeza umri wa kupiga kura uanzie miaka 14 badala ya 18 ya sasa

Mapendekezo hayo yamefuatia utafiti maalum uliofanywa na taasisi hiyo

Source ITV habari
Hopeless kabisa. Badala ya kusema watu ambao hawajasoma na wanawake hakuna kupiga kura wanaleta ujinga kabisa
 
N basi tu watu wenye uwelewa wa kuchambua Mambo kuweza kuchagua viongozi wa nchi kwa usahihi hawazidi hata laki moja nchi hii
 
Uchaguz ukatao kuja watu wengi hawatopiga kura

Ova
 
Back
Top Bottom