Umri wa kuoa ni miaka 30

1 THE. 4:3-5, 7-8
"Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati;(uzinifu) kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; si katika hali ya tamaa mbaya, Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu."


Uzinifu =uchafu?
If yes, justify
 
1 THESALONIKE. 4:3-5, 7-8
"Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati; kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu. Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu."
Bestito...kwani uzinzi ni uchafu?
 
Bestito wewe hufanyi huu UCHAFU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…