Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Nimetumia dakika kadhaa baada ya kuandika hii title nikiplan nianzeje huu uzi ili watu wanielewe. Hata hivyo nimegundua kuwa itakuwa ngumu sana, ingawa no ukweli.
Vigezo nilivyotumia kuwaza miaka 30 ni experience niliyo observe kwa ndugu, jamaa, marafiki na watu wengine ambao nimepata kufahamu mambo kadhaa kuhusu ndoa zao. Lakini pia experience ya mimi mwenyewe.
Najua mmeshajiuliza kwa mfano ni kwa nini katiba za mataifa mengi zinaweka kigezo cha umri (ambacho mara nyingi kiko juu kuliko kile cha kutambuliwa kama "mtu mzima") kwenye uraisi, na nafasi nyingine za kiutawala.
Sasa basi kwa mazingira ya kitanzania, na kwa uzoefu wangu katika mazingira hayo, mwanaume anayeweza kudili na "milima na mabonde" ya ndoa angalau kwa accuracy ya 60% (usiniulize kwa nini nimeweka cut point iwe 60), lazima awe amepevuka kiakili "sawa na mtu mwenye miaka 30".
Najua exceptional zipo (+ or -) kwa kuwa jamii iko normally distributed katika hili, na pia kwa kuwa umri sio kigezo pekee cha kupevuka kwa akili but all in all, majority ya wanaume wanakuwa matured enough (kiakili) kuweza kuoa na kuongoza vyema familia at 30.