Umri wa dunia ni upi hasa?


Kuna watu hata hawajui uchawi ni nini,kwasababu hiyo ndio maana wanakwenda kuutafuta mahali ambapo haupo,ni sawa na uende kuchimba chini ukitarajia ukute sahani ya pilau ikiwa na vipande vya nyama ya kuku

Mtu yoyote ambae ni mzima wa akili au ni msomi tunaweza kutarajia mtu huyu asifanye mabo kama mtu mwenye matatizo ya akili au mtoto mdogo,mtot akifanya mambo kama ya mtu mzima ni faida lakini mtu mzima akifanya mambo kama ya mtoto hilo litakuwa ni janga na hasara kubwa

Uchawi ni nguvu kama nguvu zingine,mfano umeme n.k,mtu ambae atataka afanye utafiti kuhusu uchawi halafu asizingatie hilo huyo atakuwa ni mwendawazimu,mtu akitaka kuujua au kujua kama upo halafu asizingatie hilo ne ni mwendawazimu

Kwasababu ni nguvu basi nao pia una kanuni zake na ili uweze kuutumia au kutaka kuona uwepo wake ni hadi uweze kujua kuhusu kanuni zake na uweze kuzifuata,mtu ambae anaweza kudhani kuwa unaweza tu kwenda popote na kuutafuta uchawi na kuupata huyo nae ni mwendawazimu kwasababu hakuna nguvu inayopatikana popote tu

Mtu yoyote ambae anasema tu ngoja niwaambie watu waniloge na kama wakishindwa basi uchawi utakuwa haupo huyo nae ni mwendawazimu kwasababu ukimuuliza kama hiyo ni kanuni ya uchawi hawezi kukujibu na inawezekana hata hajui kama uchawi una kanuni

Kimsingi kama binadamu ambao tunatumia uwezo wetu vizuri wa kutafakari mambo hatuwezi kwenda kama wendawazimu kwenye jambo lolote lile

Uchawi unafanya mambo kila uchao huku kwenye maeneo ambayo tunaishi na niliwahi kutoa ushuhuda wangu hapa kuhusiana na tukio la sofa kuungua moto kwenye chumba ambacho tulikuwamo,kuna mengi nimeyashuhudia na kuna mengi jamaa zangu wameyashuhudia,sio lazima tubishane kwenye kila jambo lakini kama kweli hawa wanasayansi hawajui uwepo wa uchawi nina sababu za kuwaita wajinga sana

Kama wanajua halafu wana sababu zao za kuficha hilo angalau linaweza kuwa na mashiko

Mtu anaweza kuficha jambo kwasababu zake mwenyewe na wengi inakuwa ni kwasababu za kipato lakini kiukweli kama unaweza kudhani kuwa uchawi haupo kwasababu tu hujawahi kuuona au kuona ukitenda kazi basi wewe una tatizo kubwa sana

Kama mtu anadhani uchawi unaweza kutumika kijinga jinga tu bila kufuata kanuni halafu mtu huyo huyo hakubaliani na umeme kutumika kijinga jinga tu bila kufuata kanuni huyu mtu atakuwa na tatizo kubwa sana

Kusema tu kwenda vijijini kutafiti kama uchawi upo na ukaukosa kisha kuhitimisha kuwa haupo ni sawa na mtu ambae ameshika kamba ya katani iliyokauka halafu akaigusisha kwenye nyaya za umeme kisha akasema kama kuna umeme hapa basi unipige shoti nife na baada ya kuigusisha kamba yake kwenye nyaya hizo na matokeo aliyoyatarajia yasitokee na akahitimisha kuwa hakuna umeme huyu mtu atakuwa ni mjinga sana

Iikie mahali tuache kutumia akili za kuazima na tutumie zetu wenyewe kwa kutafakari mambo

Mkuu,ukija Mwanza nitafute nikuambi jambo kuhusiana na haya makitu!
 

Aisee! Huwa unajipa moyo sana. Endelea....!
 
Aisee! Huwa unajipa moyo sana. Endelea....!

Unayejipa moyo ni wewe unayekubali kuwapo kwa kile ambacho hakithibitishiki.

Thibitisha kwamba mungu yupo tujue kwamba habari nzima ya kuwapo kwa mungu si kujipa moyo tu.
 
Utakusaidia nini

Kujua kitu ambacho hukijui tu ni msaada tosha.

Kwa maana usichokijua unaweza usijue kitakusaidiaje, mpaka ukijue.

Einstein alivyogundua relativity hakujua kwamba itasaidia kutengeneza GPS systems.

One cannot dismiss pure knowledge as inferior for lack of application because the historybof applied knowledge is filled with anecdotes of how applied knowledge stems from pure knowledge.
 
I can believe this.
 
Mkuu Eiyer,
Kwanza nasikitika kwamba umefikia hitimisho la uwendawazimu na ujinga mapema mno,
Umefikia hitimisho hilo, inwezekana bila hata kukisoma kitabu chenyewe. I can forgive you may be you are a little emotional about this topic!!

Mtunzi wa kitabu hicho, Psdre Gregory Yoanes Mwageni wa Shirika la watawa wa Benedictine mtu mtu mzee sana sasa, ni msomi sana na ameona mambo mengi kuliko mimi na wewe.

Kama wewe ni age mate wangu, basi nikushangaze kuwa katika umri wako, alikuwa anaamini uchawi kuliko hata wewe.

Alipofikisha umri wa miaka saba tu, alipelekwa kuishi na mchawi mkuu wa Ubena, aliitwa Mwalinunge Mahali Mkali, akaishi nae, akafundishwa madawa na uchawi. Amejifunza aina nyingi za unaoitwa uchawi kutoka kwa wachawi wa aina na maeneo mbalimbali ya Tanzania na Zambia hadi akajiridhisha kuwa anajua aina nyingi za uchawi kuliko mchawi yeyote aliyewahi kumjua.

Alianza rasmi kufanya utafiti na uchunguzi kuhusu uchawi mwaka 1933 hadi mwaka 2010 alipojiridhisha kuwa hakuna uchawi ndipo akatengeneza kitabu. Huyu amefanya utafiti kwa miaka yote hiyo, wewe kama hujafanya utafiti huna haki ya kumbishia kwa vitu vichache hivyo tu ulivyoona, yeye kaona maajabu mengi kukushinda mkuu.

Kabla hujaendelea kumkosea adabu, hebu kakitafute kwanza kwenye bookshops za makanisa ya katoliki, ukisome, halafu ndio umkosoe.
 

Hey man unaongea nini sasa?
Particle physics yote inadili na haya mambo, kuna particles nyingi sana Kimahesabu inatabiri hazipo na watu wakifanya majaribio kweli wanathibitisha hilo, hii inafanyika kila siku, unafikiri kazi ya particle accelerator kama LHC ni nini?!
Ni theory ngapi watu wamendekeza ambapo kimahesabu inatabiri uwepo wa kitu lkn hawawezi kuthibitisha kwa Majaribio (experiments), Mfano mdogo tu Dark Matter, theory nyingi zinatabiri uwepo wake lkn hakuna Jaribio lililothibitisha kama kuna Dark mater na wala hakuna mtu aliyewahi kuona Dark matter hata kwa kutumia telescope, na sasa bila uthibitisho wa kwamba Dark matter ipo mambo mengi yanayojulikana kuhusu Universe yanakwama inabaki kuwa Imani tu kama vile watu wanaoamini Mungu yupo na wengine wanaamini hayupo na wote wawili si ajabu wako sahihi kwa maana hakuna anayeweza kuthibitisha, uwepo wa Dark Matter wala kutokuwepo kwake kwa maana mahesabu yanatabiri ipo lkn Kimajaribio haionekani!

Hilo swali la kama Mungu yupo mimi siwezi kulijibu kwa maana nimeshakwambia kwamba hakuna jaribio lolote la Kisayansi linaloweza kuthibitisha uwepo wake na kinyume cheka!

 

"Hadi akajiridhisha kuwa anajua aina nyingi za uchawi kuliko mchawi yeyote aliyewahi kumjua" halafu akaja kusema hakuna uchawi!!!!

Huyu bado ni mwendawazimu tu!!.
 

Huwezi kuthibitisha kwamba kisichopo hakipo.

Kwa sababu uthibitisho upo kwenye domain ya vilivyopo, na always kuna the unknown, kwa hivyo, polisi wakija nyumbani kwangu na kusema nimeficha madawa ya kulevya, hawaniambii mimi nithibitishe kwamba sina madawa ya kulevya. Kwa sababu kama.sina.siwezi kuthibitisha hilo.

Wao watafanya search, wanaweza kuyapata na.kuthibitisha yapo.

The concept of.proving that which is.not there is not there is illogical.
 


Ok labda nafikiri nimeanzia mbele, Kwa nini unasema Mungu hayupo?
 
"Hadi akajiridhisha kuwa anajua aina nyingi za uchawi kuliko mchawi yeyote aliyewahi kumjua" halafu akaja kusema hakuna uchawi!!!!

Huyu bado ni mwendawazimu tu!!.
You take things too lightly my friend, things are a little complicated.
Kuna watu waamini kuwa wao ni wachawi, lakini kiukweli sio wachawi. Can you understand this Eiyer?

Padre akiongea kitu mheshimu sana, wengi wao wamebobea kwenye theolojia na falsafa, unaifahamu theolojia?
 
Last edited by a moderator:
You take things too lightly my friend, things are a little complicated.
Kuna watu waamini kuwa wao ni wachawi, lakini kiukweli sio wachawi. Can you understand this Eiyer?
Hili nalijua sana na huenda huyo kibabu aliangukia kwenya hawa ambao ni chaka
Padre akiongea kitu mheshimu sana, wengi wao wamebobea kwenye theolojia na falsafa, unaifahamu theolojia?
Hivi Mjuni nina haja gani kumsikiliza mtu hata kama naona kabisa anadanganya?
I don't give a damn ni aina gani au kiwango gani cha elimu anacho,ninachojalini kile ambacho kinatokea mbele ya macho yangu na mahali pengine

Huyo padri msikilize wewe lakini mimi sitaki kumsikiliza kwakuwa anadanganya wazi wazi

Eti nimsikilize kisa ni padri .....To hell na upadri wake!!!!!!!
 

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
So the whole thing is arbitrary?

Na.mimi.naweza kuanza kusema mungu ni Mchagga mwenye macho matatu anayeishi juu ya mlima Kilimanjaro nikawa sawa?

inategemea... kama unaamini hivyo basi uko sawa (kutokana na imani yako). suala la ipi iko right na ipi iko wrong lazima iwe tatizo coz matter ya right and wrong ktk dunia hii haiko static. some things which were right in the past are currently wrong & vice versa! Personally, i am religious coz 'right and wrong' concepts dont vary there; they dont have exceptions. kwa hiyo kwa upande wangu, I think earthly Morals are actually the ones which bullshits, unless they corresponds to MY religion.

Final Statement
 

Kuna tofauti ya watu kufikiri kitu kiko right halafu wakagundua kuwa ni wrong na kitu kuwa right halafu kuwa wrong.

Watu walifikiri jua linaizunguka dunia kwa maelfu ya miaka, baadaye wakaja kugundua kwamba dunia ndiyo inazunguka jua.

Walipokuwa wanafikiri kwamba jua linazunguka dunia, kufikiri kwao hivyo hakukufanya jua lizunguke dunia.

Tofautisha perception na reality. Kwa maneno yako hapo, ni kama vile unasema.reality inategemea imani za watu.

Kama dunia inazunguka jua, hata kama watu wote wataamini jua linazunguka dunia, kuamini huko hakutabadili ukweli kwamba dunia inazunguka jua.

Unapokandia earthly moral unajionyesha umekosa "true religion".

Unaji contradict mwenyewe. Kwanza unasema right and wrong are not static matters, kwa sababu kuna mambo yalifikiriwa kuwa right back then na leo yako wrong.

Halafu unakandia earthly morals as bs unless they are in line with your religion, which by definition is static!
 

Usingae tindikali, binadamu kwa mujibu wa Maandiko ni kiumbe wa Mwisho kufika Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…