Ndio maana yake, na huu ulimwengu hauishii kwenye hii dunia yetu na jua lake, ukitoka kwenye hii solar system yetu a trilion miles, kuna majua (suns) nyingine zina solar system zake, na kuna planet kuna viumbe hai, viumbe hivyo ktk hizo planet wengine wametuzidi maarifa, na planet nyingine tumewazidi maarifa, ndio kwanza wanaulizana jua limesimama au linazunguka,na hata rangi zao ni tofauti, wapo viumbe wa blue, yellow nk, na majua yanatofautiana kwa ukali na nguvu za mionzi, my point miungu ipo kibao
Habari nzima ya kuwapo kwa mungu muweza yote na mwenye upendo mkuu imezaliwa kutoka kwa baba aitwaye uzembe na mama aitwaye woga.
Uzembe unataka majibu mepesi kwa maswali magumu. Hivyo kila swali likiwa gumu na halieleweki, kwa mfano, dunia imeanzaje? Uhai umeanzaje? Baada ya kifo kuna nini? Wazembe wameopenda kujibu kwa habari za mungu, bila uchunguzi. Kwa imani tu.
Woga umesiliba habari ya mungu kwa kutisha watu kwamba ukihoji uwepo wa mungu unafanya kufuru na utachomwa moto milele na milele.
Binadamu wa leo kwenda na imani king'ombe ng'ombe tu bila kuuliza maswali ya wazi kabisa inasikitisha sana.
we huu uchunguzi umefanya wapi ? au ndio kukopi vya watu ?
Hilo siyo swali langu.
Swali uliloulizwa hujajibu, ulilojibu hujaulizwa.
Nimekuuliza, hayana majibu au majibu yake huyajui?
Is this science or science fiction?
Umeandika kwamba ukitoka kwenye hii solar system a trillion miles kuna majua mengine.
Hii si kweli.
Jua ni nyota. Nyota iliyo karibu zaidi na solar system ni star system ya Alpha Centauri, ambayo ipo 25.6 trillion miles away. Light traveling at about 300,000 kilometres per second (299,792 458 metres/second to be exact) takes 4.3 years to travel from this system to earth.
Kwa hiyo habari yako ya kwamba kuna majua mengine a trillion miles from our solar system si sahihi. Nyota ya karibu kabisa ipo 25.6 trillion miles away, that equals 300,000 the distance from the earth to the sun.
Dah hata mwalimu aliyekufundisha alipata tabu, kumaliza kwako nadhani alipga magoti akashukuru sana.
Kwa maelezo yako hapo ndipo uwezo wa kufikili ulipoishia una count miles ukiona nyingi unafikili ndio mwisho
mungu hakutaka kuumba ulimwengu ambao viumbe hawatapata consequences kutokana na matendo yao haukuwa mpango wake. hakutaka iwe hivyo. aliumba ulimwengu wa kuishi viumbe huru ambao watamwabudu sio kama maroboti bali kwa kuchagua kwao.Hujajibubswali.
Kabla ya mungu kuumba viumbe.
Pale alipokuwa anaumba ulimwengu.
Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki?
Alukuwa hawezi au hakutaka tu?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aruhusu uovu uwezekane katika ulimwengu wake?
mungu hakutaka kuumba ulimwengu ambao viumbe hawatapata consequences kutokana na matendo yao haukuwa mpango wake. hakutaka iwe hivyo. aliumba ulimwengu wa kuishi viumbe huru ambao watamwabudu sio kama maroboti bali kwa kuchagua kwao.
Hapana, wewe umetuambia maili trilioni moja kuna majua mengine.
Nimeandika trilion miles, hivi hii ni maili trilion moja, by the way siku weka actual figure sababu research bado inaendelea kujua ni miles ngapi mpaka jua jingine
Unaye base kwenye assumption ni wewe uliye shindwa kusaidia madai yako tegemezi. Wewe ndie unasema huwezi na huna uwezo wa kujibu kwasababu jibu lako ni tegemezi kwa theist.Una assume assume tu hivyo kama unavyo assume kuwapo kwa mungu.
Ukiambiwa uthibitishe ngoma.
Nimeandika trilion miles, hivi hii ni maili trilion moja, by the way siku weka actual figure sababu research bado inaendelea kujua ni miles ngapi mpaka jua jingine
A trillion miles from the earth hakuna jua, jua linalofuata lipo 25.6 trillion miles.
Kuna tofauti kati ya "trillion miles" na "trillions of miles". Labda ujifunze kiingereza.
Zaidi ya hapo, habari za kwamba kuna viumbe wengine wa kijani na rangi tofauti wanaishi huko ni science fiction zaidi kuliko science.
Kama.una.report ya kugunduliwa kwa extra terrestrials unaowataja kutoka a reputable publication tuwekee hapa.
Otherwise you must be watching too much Star Trek like movies and confusing that with actual science.
Nitarudi na evidens gnt
Nitarudi na evidens gnt
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Na wewe thibitisha kwamba Mungu Hayupo!
Kiranga. haumpati mungu ni kwa sababu unatumia wrong tools. unatumia logic na sayansi kumpata mungu. hizo ni inferior tools ambazo zinaweza kumpima mungu kwa sehemu tu. ni kama kuchunguza virusi kwa light microscope mara zote utasema havipo, unahitaji electron microscope. electron microscope unayohitaji ni imani. watu wote tunaosema mungu yupo ni kwa sababu ya imani, tumegundua logic na science vina limit na haviwezi kuexplain kila kitu.
hapo juu umetoa point ambazo zinalogic lakini muumbaji wa vitu vyote huwezi kumuelezea kama unavyoelezea vitu alivyoumba utajaribu tu. dizaini ana emergent properties. kuprove uwepo wa mungu nakuignore swala la imani hakutakuja kumaliza huu ubishi humu ndani.