Umri unaofaa kumtahiri mtoto

Asa79

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
592
163
Ndugu zangu wana jf naombeni msaada. Eti ni umri gani unafaa kumtahiri mtoto wa kiume? Kuna mtu kasema kumtahiri akiwa mdogo sana yaani below 1year ndiyo nzuri na kwamba kumtahiri baada ya hapo anaweza kupata effect ya nguvu za kiume in future, hapo pana ukweli wowote?
Naomba kufahamishwa.
 
Soma hapa LUKA 2:21
4561111 said:
Hata baada ya siku nane, ilipotimia siku ya kumtahiri mtoto, aliitwa Yesu; jina alilopewa na malaika kabla hata haja chukuliwa mimba.
 
Ndugu zangu wana jf naombeni msaada. Eti ni umri gani unafaa kumtahiri mtoto wa kiume? Kuna mtu kasema kumtahiri akiwa mdogo sana yaani below 1year ndiyo nzuri na kwamba kumtahiri baada ya hapo anaweza kupata effect ya nguvu za kiume in future, hapo pana ukweli wowote?
Naomba kufahamishwa.

.............Yesu alitahiriwa akiwa na siku nane, na Wayahudi hutahiri kati ya siku 8 mpaka miezi miezi mi3. Waislaam siku saba au iwe chini ya Mwaka mmoja. pia hili ni agano alilopewa Ibrahim na wanamfuata Ibrahim basi moja ya alama zao ni kutahiriwa na hili ni kwa wale wenye Imani !
 
ni vizuri kumtahiri siku ya nane kwa sababu ndio sunna ya mitume, na ukimtahiri akiwa mchanga inakua hajitoneshi kwa sababu hajaanza kutembea na kutambaa.
 
.............Yesu alitahiriwa akiwa na siku nane, na Wayahudi hutahiri kati ya siku 8 mpaka miezi miezi mi3. Waislaam siku saba au iwe chini ya Mwaka mmoja. pia hili ni agano alilopewa Ibrahim na wanamfuata Ibrahim basi moja ya alama zao ni kutahiriwa na hili ni kwa wale wenye Imani !

Onyesha wapi kwenye koran wametoa hilo agizo la siku saba acha longo longo za kijiweni wewe..
 
Ndugu zangu wana jf naombeni msaada. Eti ni umri gani unafaa kumtahiri mtoto wa kiume? Kuna mtu kasema kumtahiri akiwa mdogo sana yaani below 1year ndiyo nzuri na kwamba kumtahiri baada ya hapo anaweza kupata effect ya nguvu za kiume in future, hapo pana ukweli wowote?
Naomba kufahamishwa.
Tembelea jukwaa la JF DOCTOR imejadiliwa kwa undani hii.
 
Onyesha wapi kwenye koran wametoa hilo agizo la siku saba acha longo longo za kijiweni wewe..

..........fuata basi siku nane kama Yesu ! au utafuata mafundisho ya Paulo ambaye anadai kutahiri hakutamfaa mtu na lolote !
 
Inaonekana umezoea sana ubishi wa kijiweni weye.

Nimekwambia toa aya toka kwenye Koran ambayo inasema nyie Waislam mumtahiri mtoto siku ya saba toka kuzaliwa na siyo unalete story za ooooh fuata basi sijui nani? Jibu swali.
 
na hilo l nguvu za kiume lina uhusiano wowote kisayansi ikoje hiyo?
 
Mtoto atahiriwe mpaka pale maumbo yake yamekuwa yaani miaka 16.
 
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi minne je nimtahiri sasa hivi au nisubiri mpaka umri gani? Serious!
 
Kumtahiri mtoto ni kukiuka haki za binadamu na haki za watoto. Unamuondolea viungo vyake bila hiyari yake. Unamsababishia maumivu bila hiyari yake kwa kutumia imani yako wewe. Ila ni vyema kama umeamua kumnyang'anya haki zake iwe mapema kusaidia kupona haraka. Kuanzia siku nane hadi pungufu ya mwaka.
 
Asa sjui mambo ya nguvu za kiume ila nadhani watu wengi wanakwepa ile hassle ya kuhangaika na mtoto mkubwa anapokuwa na likidonda,pengine hata kujitonesha.
pia usumbufu wake kwanza mpaka mfikie muafaka wa yeye kukubali kutahiriwa vita yake kwahiyo mwishowe mnaishia kumchoma masindano ya usingizi wakati kumtahiri na madaktari wanadai si nzuri.
Siku izi mtoto anatahiriwa hata ndani ya wiki baada ya kuzaliwa,ila angalizo:daktari awe na uzoefu wa kufanyia watt wachanga la sivo itakua shida,wakifanyiwa kipindi hicho anapona ndani ya siku 7 na diapers anavaa kama kawaida akishatairiwa kuna dawa flani kama cream unakuwa unampaka ili kidonda kisinatie kwenye diaper na panadol anakunywa basi.
ila sio guaranteed kuwa kila mtt mchanga atakubaliwa kutahiriwa,hayo ni maamuzi ya daktari akishamwangalia ndo anaamua kama atatahiriwa au la.
 
Back
Top Bottom