Umri sahihi wa kufunga ndoa

Umri sahihi wa kufunga ndoa

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,098
Najua wengi mtakuwa nmeshalala, Poleni na utafutaji wa riziki siku nzima.. wana MMU naomba nijue umri sahihi wa msichana kuweza kufunga ndoa.

Matani mpelekee Mister bean.

Kejeli, dharau na kashfa mpelekee khadija kopa.

Naomba ustaarabu na majibu mazuri.

Usiku mwema msomaji
 
19+ kama haupo na mambo ya kishuke shule

21-24 au 25 kama unamalizia masuala ya chuo

25-27 hapa jua karibia lizame. Kama ni mkristo anza kuimba kwaya kanisani huenda waumini wenzako watakuona

28-35 unaweza kutafuta mtu uzae nae(hasa kama huwazi utakula nini na utavaa nini) kwani sometimes ndoa sio lazima bali ni muhimu
 
Cha msingi ni utayari, kujua nini maana ya ndoa.

Unaweza ukawa una Miaka zaidi ya 30 na usiwe tayari na unaweza kuwa chini ya 20 ukawa tayari kwa ndoa. Inategemea na mtu.

Wengi watasema kati ya 20-30 kwasababu ndio umri ambao binadamu anakuwa amekomaa kiakili na kuweza kujitegemea. Lakini kuna watu maisha yame wakomaza wakiwa below 20 na wameanza kujitegemea wakiwa wadogo

Kwahiyo Ishu ni utayari na si umri
 
20-30 hapo uwe umeolewa

Nashukuru. .maana mtu ana miaka 22 mwaka huu..boyfriend wake kampropose amuoe mwakan akiwa na miaka 23 eti mmoja wa rafiki zetu ana mwambia ts too early. ..na bado hajamalza utoto..tho mwenyewe anasema mkaka wa watu kamkubal na hal yake alvyo
 
Ha ha ha ha ha. .hapo pa kuimba kwaya m hoiiiiii
 
Cha msingi ni utayari, kujua nini maana ya ndoa.

Unaweza ukawa una Miaka zaidi ya 30 na usiwe tayari na unaweza kuwa chini ya 20 ukawa tayari kwa ndoa. Inategemea na mtu.

Wengi watasema kati ya 20-30 kwasababu ndio umri ambao binadamu anakuwa amekomaa kiakili na kuweza kujitegemea. Lakini kuna watu maisha yame wakomaza wakiwa below 20 na wameanza kujitegemea wakiwa wadogo

Kwahiyo Ishu ni utayari na si umri

wwe mkali asee guess u ar a marriage consultant
 
Tunaposema umri wa kuolewa......tunaangalia muongozo wa nchi(sheria). Yeyote mwenye kutimiza miaka 18, anahesabiwa ni mtu mzima, anaruhusiwa kushiriki mambo na maamuzi ya watu wazima katk nchi yetu tz.

Sheria inaruhusu mwenye miaka 18, kuolewa. Pia ipo sheria ya kimila inayoruhusu msichana mweny miaka 16 kuolewa ikiwa wazazi wake wataridhia. Kwa ushauri wa afya yako...yafaa kuanza kuzaa ukiwa na miaka 18--25, kwa uzazi wa kwanza. Ni wakati huo nyonga za mwanamke zinakua zimetanuka vema sana na kumfanya mwanamke azae kwa raha na amani.
 
Cha msingi ni utayari, kujua nini maana ya ndoa.

Unaweza ukawa una Miaka zaidi ya 30 na usiwe tayari na unaweza kuwa chini ya 20 ukawa tayari kwa ndoa. Inategemea na mtu.

Wengi watasema kati ya 20-30 kwasababu ndio umri ambao binadamu anakuwa amekomaa kiakili na kuweza kujitegemea. Lakini kuna watu maisha yame wakomaza wakiwa below 20 na wameanza kujitegemea wakiwa wadogo

Kwahiyo Ishu ni utayari na si umri

Naomba kuongea kwa kirefu na wewe aisee..plZ
 
Karibu ila mimi sio marriage counselor so nitatoa neno kadri ya experience yangu.

By the way Mimi ni Me

Sawa nmekuelewa..but i hope u can assist me whenever I ask ur help abt t..thanks
 
unapoona unataka kufanya tendo la ndoa bas owa au olewa co kukaa kuruka ruka na dunia
 
Nashukuru. .maana mtu ana miaka 22 mwaka huu..boyfriend wake kampropose amuoe mwakan akiwa na miaka 23 eti mmoja wa rafiki zetu ana mwambia ts too early. ..na bado hajamalza utoto..tho mwenyewe anasema mkaka wa watu kamkubal na hal yake alvyo

Sounds like hayupo tayari huyo. Neno "utayari" ni pana Sana,kuna vitu vikubwa viwili
1. Utayari wa nafsi yako Kwa kuelewa majukumu ambayo yanaletwa na ndoa. Unatakiwa kujua kuwa ndoa haina ubinafsi,ina mabonde Mengi na Pia kuna mambo Itabidi uachane nayo ili kuihudumia ndoa.

2. Uwezo wa kujitegemea kiuchumi na kimaamuzi. Hapa ina jumuisha kumaliza malengo ya kielimu Au kama huja bahatika kwenda Shule at least Uwe na kitu kinacho kuingizia kipato maana Maisha Siku hizi Sio zile Habari za mke Kuwa mama wa nyumbani tu

Sasa huyo Rafiki yako kwa hilo la kusema kuwa bado hajamaliza Ujana na anajifariji kuwa Huyo mkaka anaelewa sio sahihi. Akisha Ingia kwenye ndoa mambo hubadilika,kama bado ana mtizamo huo wa kwamba hajamaliza ujana inabidi afikirie Mara mbili.
 
Kiukweli rafiki yangu yupo tayari. .but maneno ya shoga zake wengine ndo yamenipa taharuk..mpaka nkafkia kuleta uzi huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom