Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

wanapunguza tu miaka ila kifo hakidanganyi
Kwani ulisikia kifo kinajali umri wa mtu?
Wanaokufa kwa uzee ni wateule pekee. Tena vifo vyao havinaga usumbufu.
Mtu anaishi miaka mia na kitu, lakini haugui yale magonjwa makubwamakubwa, anakuja kufia usingizini.
Idadi ya watu walio wengi vifo vyao havitokani na umri.
 
Nakumbuka mwaka 2011 au 2012 kwenye gazeti moja la udaku lulu alikuwa anasherehekea birthday ya miaka 18...but baada ya majanga ya kanumba akarudisha miaka nyuma hadi 17 ili kesi imuendee vizuri aonekane alikuwa anabakakwa... sasa jumlisha 18 ya 2011 hadi 2017 uone
Mkuu ni kweli asee ana miaka 24
 
Kwani ulisikia kifo kinajali umri wa mtu?
Wanaokufa kwa uzee ni wateule pekee. Tena vifo vyao havinaga usumbufu.
Mtu anaishi miaka mia na kitu, lakini haugui yale magonjwa makubwamakubwa, anakuja kufia usingizini.
Idadi ya watu walio wengi vifo vyao havitokani na umri.
Umeonaeeh mkuu
 
Watanzania banah, hivi hamna vitu vya kufanya... Nimeona huu uzi nikasema lazima nitie neno, watu mngekua busy msingekua busy kuleta ujinga huu... Kweli wewe zero iQ...

Mkuu bwana siyo kila muda wa kufanya kazi kuna muda kula ,kwende chooni ,kuoga pia ata muda wa kufurahi siyo kwa sababu ya kazi eti ushindwe kufanya mambo mengine

Wewe mbona umepoteza muda wako kusoma hapa na kureply hiyo nonsense coment yako si muda huo ungeutumia kufanya kazi.

....!
 
Back
Top Bottom