Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Msikie Juma Nature hapa
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Umoja huo wimbo huo upeleke kwenye familia za wenye hizi picha hapa halafu utulete mrejesho.

Sawa jinga lao?
 
Attachments

  • 20251013_054654.jpg
    20251013_054654.jpg
    130.1 KB · Views: 13
  • 20251013_054656.jpg
    20251013_054656.jpg
    129.9 KB · Views: 12
  • 20251009_032858.jpg
    20251009_032858.jpg
    295.2 KB · Views: 10
Umoja huo wimbo huo upeleke kwenye familia za hizi picha hapa halafu utulete mrejesho.

Sawa jinga lao?
Ulikuwepo wakati wa maandamano ya mwembechai?
 
Ndio nilikuwepo , turudi kwenye swali la msingi hao watu kwenye picha wako wapi mjinga wao?
Unajua idadi ya watumwa waliochukuliwa utumwani kabla ya uhuru?
 
Jibu swali langu mjinga wao, hao watanganyika wenzetu pichani wapo wapi?

Watumwa waliondoka bila record yoyote hapa tuna record ya watanganyika wenzetu waliopotelea ardhi ya Tanganyika wala hawakusafirishwa kwenda utumwani Asia,Amerika wala Ulaya.

Kuna watanganyika hapo wana miaka 9 hadi mwingine siku ya 8 sasa hatujui walipo.

Elezea wako wapi.

Usipanue domo lako kusema kuna umoja wakati wenzetu tulio nao tunasema ni wamoja hatujui walipo.

Be focused.
 
Jibu swali langu mjinga wao, hao watanganyika wenzetu pichani wapo wapi?

Kuna watanganyika hapo wana miaka 9 hadi mwingine siku ya 8 sasa hatujui walipo.

Elezea wako wapi.

Usipanue domo lako kusema kuna umoja wakati wenzetu tulio nao tunasema ni wamoja hatujui walipo.

Be focused.
Nimekuuliza kuhusu watumwa waliopitishwa bagamoyo walikuwa wangapi
 
Wewe unawajua?

Kwahiyo unalinganisha ukatili wa waliokuwa wanachukua babu zetu kama watumwa na zama hizi watanganyika wenzetu wanavyouawawa kikatili ili kuwalinda majizi na mafisadi?

Ok, nitajie mimi majina ya watumwa watano tu waliosafirishwa kutoka Bagamoyo kwenda nje ya Tanganyika.

Nami nitakuwekea picha na majina ya watanganyika watano waliopotelea Tanganyika unieleze wako wapi.

Challenge accepted.

Twende kazi jinga lao.
 
Kuanzia miaka ya 1800 hadi 1890, soko la watumwa la Zanzibar lilikubwa kubwa kulizo yote duniani. Kati ya watumwa 25000 – 50000 wa Kibantu waliletwa ili kuuzwa kwenda pwani ya Somalia na sehemu nyingine. Wengi wao walitoka katika makabila ya Wamakua, Wanyasa, Wayao, Wazaramo na Wazigua ambao ni makabila ya Tanzania, Msumbiji na Malawi za leo.....imetoholewa kutoka GOOGLE

wewe unayejidai mwanaharakati ningeona una akili kama ungedai hawa maelfu ya watumwa ndugu zetu ambao wamepotea na kupotezwa na walami.
 
Mkuu mbona unastory zakish_o_gashoga sana aisee , anyway kwani nini msingi wa hoja yako?
 
Kuanzia miaka ya 1800 hadi 1890, soko la watumwa la Zanzibar lilikubwa kubwa kulizo yote duniani. Kati ya watumwa 25000 – 50000 wa Kibantu waliletwa ili kuuzwa kwenda pwani ya Somalia na sehemu nyingine. Wengi wao walitoka katika makabila ya Wamakua, Wanyasa, Wayao, Wazaramo na Wazigua ambao ni makabila ya Tanzania, Msumbiji na Malawi za leo.....imetoholewa kutoka GOOGLE
Swali langu la kwanza hujalijibu jinga lao.

Mimi sijakuomba data kutoka google, sijakuomba data za Somali , Zanzibar, Wayao, Wamakua w wala wabantu wengine nimeomba data za watanganyika tu narudia tena utoe picha walau 5 na majina ya watumwa wa Tangayika wakisafirishwa kwenda uhamishoni.

Wewe maswali haya kwako hujayaelewa na ni rahisi au na wewe elimu yako ni ya mafunzo mbali mbali chuo cha utumishi Pakistan?

Naomba picha 5 na majina ya watumwa waliopelekwa utumwani.
wewe unayejidai mwanaharakati ningeona una akili kama ungedai hawa maelfu ya watumwa ndugu zetu ambao wamepotea na kupotezwa na walami.
Ok , unatoka nje ya mada wapi mimi nimesema ni mwanaharakati?

Kuwa mwanaharakati ni kosa?

Hujui Nyerere alikuwa mwanaharakati wa kupinga ukoloni?

Ok mimi nakuwekea picha zaidi ya 5
20251005_134437.jpg
za watanganyika wenzetu ambao wamepotezwa na watanganyika wenzetu na sio watu kutoka Asia , Ulaya au Amerika

Sasa je tuelezane tunaweza kusema sisi ni wamoja kama miongoni mwetu wanapotea watu na tusijue walipo?
 
Swali langu la kwanza hujalijibu jinga lao.

Mimi sijakuomba data kutoka google, sijakuomba data za Somali , Zanzibar, Wayao, Wamakua w wala wabantu wengine nimeomba data za watanganyika tu narudia tena utoe picha walau 5 na majina ya watumwa wa Tangayika wakisafirishwa kwenda uhamishoni.

Wewe maswali haya kwako hujayaelewa na ni rahisi au na wewe elimu yako ni ya mafunzo mbali mbali chuo cha utumishi Pakistan?

Naomba picha 5 na majina ya watumwa waliopelekwa utumwani.

Ok , unatoka nje ya mada wapi mimi nimesema ni mwanaharakati?

Kuwa mwanaharakati ni kosa?

Hujui Nyerere alikuwa mwanaharakati wa kupinga ukoloni?

Ok mimi nakuwekea picha zaidi ya 5 View attachment 3488492 za watanganyika wenzetu ambao wamepotezwa na watanganyika wenzetu na sio watu kutoka Asia , Ulaya au Amerika

Sasa je tuelezane tunaweza kusema sisi ni wamoja kama miongoni mwetu wanapotea watu na tusijue walipo?
Wakati wa ukoloni hakukuwa na gadgets za kuwezesha kuchukua picha.Lakini wengi wa watanganyika walichukuliwa utumwa,waliteswa na wengi walikufa.
kama wewe ni mwanaharakati mzalendo ungejikita katika kujua whereabouts za wazee wetu hawa ili tujenge na kuanzusha kesi dhidi ya walami waliodhulumu utu wa wazee wetu kwa maelfu.
usiwe mwanaharakati feki anayetumika kuendelea kuvuruga efforts za CCM Mkombozi wetu kutoka utumwani huo ni uhaini wa hali ya juu.
 
Wakati wa ukoloni hakukuwa na gadgets za kuwezesha kuchukua picha.Lakini wengi wa watanganyika walichukuliwa utumwa,
Biashara ya utumwa na utekaji ni sawa?
waliteswa na wengi walikufa.
kama wewe ni mwanaharakati mzalendo ungejikita katika kujua whereabouts za wazee wetu hawa ili tujenge na kuanzusha kesi dhidi ya walami waliodhulumu utu wa wazee wetu kwa maelfu.
Je biashara ya utumwa kama ilikomeshwa kwanini utekaji na mauaji visikomeshwe?
usiwe mwanaharakati feki anayetumika kuendelea kuvuruga efforts za CCM Mkombozi wetu kutoka utumwani huo ni uhaini wa hali ya juu.
Wapi mimi nimesema ni mwanaharakati?

CCM ipi hiyo ni mkombozi wa umma?

CCM ambayo inateka watu ambao wanakemea ufisadi na wizi na mafisadi na majizi wanaachwa huru bila kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria?

Ukombozi wa CCM ndio kutumia polisi kupoteza wakosoaji?

Ukombozi wa CCM ni kutumia mabilioni kutengeza upinzani feki wa CHAUMMA na vyama vingine shikizi ili ionekane kuna uchaguzi huru?

Come again jinga lao.
 
Biashara ya utumwa na utekaji ni sawa?

Je biashara ya utumwa kama ilikomeshwa kwanini utekaji na mauaji visikomeshwe?

Wapi mimi nimesema ni mwanaharakati?

CCM ipi hiyo ni mkombozi wa umma?

CCM ambayo inateka watu ambao wanakemea ufisadi na wizi na mafisadi na majizi wanaachwa huru bila kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria?

Ukombozi wa CCM ndio kutumia polisi kupoteza wakosoaji?

Ukombozi wa CCM ni kutumia mabilioni kutengeza upinzani feki wa CHAUMMA na vyama vingine shikizi ili ionekane kuna uchaguzi huru?

Come again jinga lao.
CCM ni msingi wa ukombozi na uhuru wa Tanzania !
CCM ndio iliyoleta uhuru tulionao sasa.
CCM inaweza kuwa na mapungufu yake machache ambayo yanatakiwa kusemwa na kupigiwa kelele kwa utaratibu demokrasia na haki.
Kamwe tusiruhusu wahuni warudi kuivuruga CCM imara na kamwe tusiruhusu CCM ianguke kwa hujuma za walami
 
Wanakomboa kitu gani?
CCM ndio iliyoleta uhuru tulionao sasa.
CCM inaweza kuwa na mapungufu yake machache ambayo yanatakiwa kusemwa na kupigiwa kelele kwa utaratibu demokrasia na haki.
CCM haikuleta uhuru , Tanzania ilikuwa chini ya uangalizi wa muingereza baada ya kuwa koloni la Ujerumani kabla hivyo walipokuwa tayari walipewa.

Waliopambana ni kina Mkwawa hao hawakuwa na chama , CCM ni mkoloni mweusi watu wanataka uhuru wao upya safari hii ni kutoka kwa mkoloni mweusi.
Kamwe tusiruhusu wahuni warudi kuivuruga CCM imara na kamwe tusiruhusu CCM ianguke kwa hujuma za walami
Wahuni ni mafisadi , majizi , watekaji na wahuni hao wamo CCM hata mwanaccm na balozi mstaafu Polepole mliyemteka na kumpoteza mara zote alikuwa akisema hivyo.

Chama hakiwezi kuwa mkombozi halafu baada ya miaka 64 inawapa walipa kodi wake maji ya namna hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom