Kama kweli style ya wasomi tuliyonao ndiyo hawa hakika Tanzania hatuwezi kusonga mbele. Yaani wasomi wanawaza kwa kutumia akili ya mtu!
Wanatumika vibaya hawa wanaojiita wasomi. Kwanza hawajui hata taratibu za kumpaata kiongozi huko CCM, wao wanaamini kelele zao ndiyo zitaishawishi NEC ya CCM kumchagua mamvi?
Waache upumbavu wafanye kilichowapeleka pale vyuo vya Kata.
Ata wewe nna wasiwasi na elimu yako.